Hellow MMU.
Katika maeneo mengi nimeona apple likitumika kama ishara ya upendo/mapenzi. Wakati fulani
niliona katika engagement pete imefichwa kati kati ya apple. Shemeji yangu wakati anaolewa...
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe...
Wote tunajua kwamba hakuna kitu mtu hawezi kufanya in the name of love.., iwe kuiba, kusema uongo, kufuja pesa, kutapeli n.k.
Hivyo basi badala ya kumwona anayetenda (kufuja mali, kuingia...
Bandugu hii Nashera hotel sasa imepata umaarufu wa aina yake mjini Moro.
Nilikuwepo juzi kati kula bata viunga hivyo. Adam Malima toka afanyiziwe katika hotel hii basi umaarufu wake umekuwa...
Na wale ita wa tachi
Everything you are
Everything you'll be
Touches the current of love
So deep in me
Every sigh in the night
Every tear that you cry
Seduces me
And all that I am
And all that...
Majira ya kiangazi ndiyo yanazidi kukolea kwa wabeba maboksi. Hata hivyo mbeba maboksi mwanagenzi amegundua balaa lingine ukiacha lile la vinguo vifupi ambavyo ufupi wake unazidi kupindukia kadri...
.....Eti wandugu,jana tulikua na ubishi sana na warafiki
wengine na nimeamua kuleta hapa debate hiyo...
Nataka kuwauuzia hii kesi...
Ukiingia baa au pub na ukamuona binti mreeembo sana...
Ni mwaka wa tatu toka afunge ndoa na mumewe, mumewe ni Dereva
kwenye kampuni ya......... (Naistiri) amepatwa na ugonjwa wa kupararaiz
mwaka jana. Baada ya jitihada kubwa za madaktari kwa sasa...
Wana MMU... Habari za week end?
Naleta kwenu hii thread ili tumsaidie rafiki yangu, kuna mshikaji wangu wa karibu sana ana mahusiano mabaya sana na Baba yake mzazi, kwa muda wa miezi nane sasa...
Hello JF?
Natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo:-
JINSIA : MWANAMKE
UMRI: >= Miaka 18
ELIMU: Kuanzia Sekondari hadi Chuo Kikuu
KAZI: Awe ni Mfanyakazi au mwenye kuingiza kipato halali
DINI...
Kule kwenye siasa watu wamewazodoa sana baadhi ya wale wagombea ubunge wa Afrika Mashariki kwa kutojua vizuri Kiingereza.
Wale ambao wameonekana kujieleza vizuri kwa Kiingereza wengine wamewaona...
The demand by Uganda women to have a clause in the Domestic Relations Bill that allows them to divorce men with bigger organs is something interesting because it confuses one on what exactly...
Habari zenyu wana jf.nimerudi tena kuomba ushauri kwenu!
Mwenzenu nina mpango wa kuongeza mke wa pili sababu naona ntakonda bure na hii hali ya mke kunipangia ratiba ya kunipa unyumba nashindwa...
Apa mtaani kwetu, kuna jirani wangu anaishi na mpenzi wake BUT Mwanaume ndiyo kamfata Mwanamke nyumbani kwake nukuta
CHAMAAJABU: Huyu JAMAA Uwa anamwamkia uyu mwana dada, Na sasa wamefanikiwa...
Nimuda gani/ Umri gani kijana anatakiwa kuoa/ kuolewa? na anaowa/olewa kwa sababu gani,kwa sabau wenzake tayari,upweke,tamaa au haolewi/haoi kwa sabau hana kipato?
Hivi wanawake wanavaa nguo ili kuwa'impress wanaume??au wanavaa nguo zao ili ziwapendeze............Ninamaanisha 'assume kungekua hakuna wanaume,wangeendelea kuvaa nguo za kubana,fupi sana,za...
Habari za leo wana MMU?
Kwanza, naomba msamaha kwa wote ambao kwa namna moja au nyingine wasingependa kuzisikia tena habari za The Great. Si nia yangu kuwatonesha kidonda bali kuwashirikisha...
Hebu tuchukulie kwamba umeolewa au kuoa,halafu una mafanikio makubwa kifedha mpaka inafikia mahali ndugu jamaa na marafiki zako na hata watu wengine wanatamani hayo mafanikio yako. . . . . . ...