Demu ananiomba anilalie zipuni!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,126
2,000
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000
Nafanya bado mahesabu ya ukubwa wa siti...kama ni siti ya watu wawili maana yake hawezi kukulalia kichwa kikafika mapajani, labda akuegemee kifuani. Na kama ni siti ya watu watatu bado haniingii akilini...otherwise she is a dwarf

Ukubwa wa siti zetu ni huu
bus-sleeping02.jpg
Au hapa...
bus-sleeping01.jpg
Siti za magari yetu zingekuwa hivi ningekubaliana na wewe
pic2.jpg
 
tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,858
1,195
Ndugu zangu wana jf.
Mwenzenu yamenikuta.
Hapa nilipo nipo safarini Mwanza nimepanda "ZUBERI"pembeni yangu kuda mdada naye pia anaenda Mwanza ingawa yeye atapiliza kwenda Musoma.
Sasa kimbembe ninachokipata huyu demu anasema anasikia usingizi sana bcoz jana hakulala kwa kuhofia kupitiwa na usingizi,sasa ananiomba anilalie mapajani ili japo apate kupumzika,nilimkubalia japo uvumilivu ulinishinda maana ile kuweka kichwa juu ya zip tuu
Jogoo kawika,nikasingizia nimebanwa kichomi so ainuke avumilie tukifika Dom mie ntasimama nimpishe alale mpanga singida,but hili wazo kalipinga kwa hoja kali!sasa anasema atalala mwanza na bcoz yeye ni mgeni anaomba kampani yangu.
Kwa kifupi huyu mtoto anakwenda kwao likizo na anafanya kazi(wizara ya ulinzi Dar)inaonyesha kama ni mjeda fulani hivi na pia anapete ya ndoa ya silver.
Naomba mnishauri anilalie zipuni au nimchomolee?

usikute mumewe yumo humu.............
 
Rejao

JF-Expert Member
May 4, 2010
9,237
2,000
Rejao duh balaa
jamaa mziki wake wa kukoroma hapo ni balaa midomo yote wazi
Mkuu kama unamuona kabisa ana pete ya ndoa na ni mfanyakazi wa wizara ya mambo ya ndani na ni mtu wa musoma ogopa sana hiyo kitu aise
hahahah...jamaa kanogewa!!
Mi na mke wa mtu mbali mbali kabisa...nikishaona tu pete ya ndoa basi system zote za umeme zinabuma!! Kitu kinasinyaa..
 
Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,687
2,000
Sasa ndio zipuni mkuu?
Na mtoto mwenyewe mashallah kaumbika kama"dondola"

Mkuu kwa kuwa huyo ni mtoto wa kike mi sioni tatizo, kwani tumeagizwa tuwahurumie na kuwatendea wema-angelikuwa ni mwanaume ndio anakuomba hayo nadhani ungekuwa na haki na sababu ya kutuuliza!!
 
Mr Rocky

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
15,188
2,000
hahahah...jamaa kanogewa!!
Mi na mke wa mtu mbali mbali kabisa...nikishaona tu pete ya ndoa basi system zote za umeme zinabuma!! Kitu kinasinyaa..

Mkuu uko sawa na mimi aise
Mke wa mtu kitu ingine kabisa
Wala haina haja kuuliza uliza mara mbili unaachana nae mbali kabisa
Na inaelekea jamaa hapo katupa ndoano mpaka mwanamke anafikia kumwambia kuwa jana hakulala vyema na anaenda musoma na anafanya kazi wapi hayo yote yameanzia mbali
hapo jamaa kashatupa maneno yake hapa anaomba ushauri je amalizie au aache
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom