Adam Malima kaipaisha Nashera

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Bandugu hii Nashera hotel sasa imepata umaarufu wa aina yake mjini Moro.
Nilikuwepo juzi kati kula bata viunga hivyo. Adam Malima toka afanyiziwe katika hotel hii basi umaarufu wake umekuwa ukiongezeka na watu wanamiminika kwenda kula bata na kufanyia sherehe na mikutano tofauti na jinsi wadau walivyo kuwa wanafikiria. Kuna baadhi ya radio zinatangaza shughuli kufanyika hapo Nashera hatari.
Jamani nisehemu tulivu sana unaweza kwenda kula bata na kujinafasi pasipo bughudha yoyote haswaa kwa wale wapenda nao msihofu kuibiwa labda kama umeenda na mwenzako mdokozi basi hapo inabidi uwe makini au ulale kwa kusogeza kitanda mlangoni ili asiweze kukuzidi ujanja usiku wkt umechoka baada ya kula bata.
Wana MMU karibuni sana Nashera Hotel karibu nitapewa umeneja pale kwa mwana MMU kutakuwa napunguzo la bei.
 
na wewe unarudia dhambi ile ile ya kuitangaza, Lowasa vitu vyake vinajitangaza vyenyewe bwana.
 
Back
Top Bottom