Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

niko mwanza
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Umefungua laptop yako na mara unajisikia kutembelea jukwaa la kikubwa baada ya kujiunga kwenye mtandao wa JF, Wkati unachungulia picha moja baada ya nyingine mara wife yako anatokea na kuanza...
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Kupata msichana mwenye akili za kimaisha,kimaendeleo na anaeweza kukukosoa unapokwenda wrong ni raha sana. i love my beibe!!..
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Mara nyingi hutokea mtoto anayezaliwa nje ya ndoa huwa ni wa baba tu wa mama tunampataje?MAANA YANGU NI HIVI MTOTO ANAJUMUISHWA KWENYE HUYO FAMILIA JAPO HUTOKEA KUTOKUELEWANA KWA BABA NA MAMA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani sijui nimekuaje maana siku hizi sina hamu kabisa navitoto au wasichana wa umli wangu...... Nimejikuta nikipenda sana wanawake walionizidi umri sijui kwanini akipita demu antihivi au mmama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali tete,wife kasafiri,mwenye nafasi jamani tukasaidieni kidogo,ani pm tuoeane maelekezo zaidi!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii Alhamis kuna rafiki yangu kaoa, lakini matatizo mke wake ni kikojozi ana jikojolea kitandania sasa afanye nini. Mimi nimemuambia avumilie tu, ule mkojo wake unaweza kuwa dawa kwenye mwili...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Eti jaman,nyie hawa mabinti mnawezaje kuwahandle?maana mie huyu kipoozeo wangu hata simuelewi,kitu kdogo kananuna cku nzima,mkiongea hvi leo,kesho kamechange,yan kila kitu kwake ye kiko...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Ways to make her smile 1.Stay off your phone while with her 2.Send her a cute good night txt while she is asleep so she wakes up with a smile on her face. 3.Disrupt her concentration with a...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hii nimeipata mahali. sijaitunga mimi. Kuna tukio nililiona MAISHANI: Acheni niwape heshima iliyotukuka wanawake woote; IMAGINE: ANAKUFUMANIA: Analia, ananyamaza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zanguni mimi niko chuo kimojawapo mkoani morogoro. kuna binti niliyetokea kumzoea then nikafall in love nika mweleza akasemahaiwezekani coz she is in love ready nikatulia ila bado mazoea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nimetokea kumpenda binti mmoja ivi yoko moro na mimi niko dar ila huyu binti ana ujauzito wa miezi 5 aliopewa na mchumpa wake wazaman kiukweli maisha yake ni magumu sana kwani ana mtegemea mama...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, jamani leo mida ya jioni tunaenda kutoa mahari maeneo fulani kwa kabila la wamakonde, kijana anayetaka kuoa ni mhaya, sasa kituko ni kwamba, huyo mtolewa mahari hayupo, yupo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapendwa pamoja na harakati za maisha,tumkumbuke aliyetuumba maana hakuna anayejua saa atakapoitwa.nawatakieni jumapili njema.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
..........................................
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kwa wale tuliozaliwa katika mazingira ya kitanzania halisi, mtakumbuka wakati wa utotoni wazazi walikuwa wanam-refer mtoto flani mwenzio kama 'mchumba' wako au wewe mwenyewe ulikuwa unatreat...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu. Sifa: 1.Mkristo. 2. Age range from 24-28 yrs old. 3. Husiwe ushatowa mimba . 3. Huwe na upendo wa...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wadau, jpili imekwendaje? Anyway jana jmos nilikuwa naskiza Radio One kipindi cha watoto. Kama kawaida moderator naye ni mtoto. Ikawa kipindi cha methali, katoto kamoja kakapiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watu wanafurahia kupendwa na wanapenda,lakini wapo wanaopendwa na vichwa vinakuwa vikubwa na kujisifia kuwa wanapendwa na kujisahau kabisa kuwa nao wanahitaji kurudisha upendo,uhusiano wa aina hii...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Hay vijana wenzangu mm nina umri wa miaka 25 nimemaliza elimu ya kidato cho 4 na mfanya kazi ktk componcy za mahoteli nimeamua kutafuta mchumba wa kike mwenye umri ucopungua miaka 24 bila ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…