Sintarudia tena kupiga busu la kwenye ndimi za mtu nimekoma,haya mambo ya kugeuzana mswaki hapana tena baada ya kumkiss ulimi unawasha namna hii siku ya tatu mfululuzo!
"Mwambie yule rafiki yako asipende kunizoea, mwambie mimi siyo Malaya. Yaani mtu anajidai wewe ni rafiki yake, halafu anakuja kunitongoza…………!"
Hebu tuchukulie kwamba...
:)
INFO:
A solid product that focuses on ways to use humor to become attractive to women. Filled with good material and examples, "Make Women Laugh" can be helpful if you are interested in...
nilikua na girlfriend ambaye wakati wowote ambao yeye alinihitaji kwa ajili ya sex alikuwa anasafiri kutoka mkoa anaoishi kunifuata nilipo na kupeana malavi davi. Aidha mm nikimuhitaji alikua...
jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel...
jamani samahani kidogo wanaJF ila tu ni katika hali ya kujuzana mambo 2 ma3 ya kijamii,hivi kwa mfano mtu akaenda kusex kwa kutumia kinga(condom) na tahadhari zote za ziada kama vile kutoingia...
Habari zenu wakuu,
Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa,
sifa zake;
Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au...
Mchumba anapochumbiwa hiyo nayo huwa ni ahadi.....
Ahadi inapoota mbawa aliyeahidiwa huachiwa maumivu.......
Mwaahidi aweza kuwa na sababu za kigugumizi lakini...
Mwathirika wake hataki kusikia...
Salut wana jf, katika maisha ya kila siku swala la kupenda na kupenda ni jambo la kawaida na ni mingmi mwa mahitaji muhimu ya mwanadamu. Katika kumpenda mtu au kitu naamini kabisa lazima kuwe na...
Mamboz?, leonataka kushare nanyi changamoto nilizokumbana nazo tangu nimejoin jf. Binafsi naaminichangamoto zinasaidia kutujenga kiakili na binadamu wote tunapitia challengestofautitofauti...
Nimejaliwa miguu lakini hips sina, nina mpango wa kununua spandex yenye sponji za kuongeza hips.
Nimejaliwa macho makubwa na mazuri, shughuli ipo kwenye kope, ka vile hazipo, nina mpango
wa...
Iwe umeoa/umeolewa, iwe ni wachumba wa muda mfupi au mrefu, yanapotokea baadhi ya mambo haya (na mengine), ujuwe kuwa uhusiano wenu uko matatani na iko haja ya kutafuta ufumbuzi haraka.
1...