Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa mtumwa wa mapenzi yaani nimwonapo mpenzi wangu moyo wanguunalipuka na kuanza kwenda mbio hali inayonifanya kumtii kwa jambo atakalonitamkia, nifanyeje?
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Jamani mimi niko ndani ya ndoa, ni miaka Tisa sasa na sijawahi ishi na mke wangu, tunakutana wiki mwezi ni mkubwa sana, kwa sababu ya umbali kikazi, wakati mwingine niliwaza kumwachisha kazi akili...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guys my day has been spoiled by my beloved wife. Jana jioni nili mdrop home then mimi nikageuza kwenda Club kupiga story kidogo japokuwa nimesimama pombe sababu za kiafya. Dont think if this could...
2 Reactions
130 Replies
10K Views
habarii wakuu wa mji huu, ma greater thinker ngoja nitiririkee moja kwa moja kwenye point... Mienzi kama miwili iliopita nikiwa kwenye pilika pilika zangu nilikutana na binti kweli ni mrembo na...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified...
1 Reactions
51 Replies
4K Views
labda mmoja ambaye yupo serious atakwepo
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Ni miongoni mwa wapangaji jijini dsm, ninachumba kimoja tu kwenye nyumba ya familia, tunaheshimiana sana, na asilimia 100 ya wakazi wa nyumba hii wanaonja, si wanywaji sana, ila binti wa miaka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina msichana wangu fulani ametembea na anko wangu tena amemwambia iwe siri sasa anko kaniambia,je nimlaumu nani?.
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hebu jionee mwenyewe hapa: Man Cured of AIDS: 'I Feel Good' - Yahoo! News
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenu waja JF. Naombeni ushauri wenu wa haraka haraka. Nilikuwa na camera ya mpenzi wangu, of course nilikuwa natumia kupiga picha za harusi ya my sis. Sasa ikatokea ile camera card ina...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hali zenu wana JF... Naomba ushauri wenu tafadhali maana niko njia panda. kuna huyu m-baba, sitamuita kaka maana ni mtu mzima. tulifahamiana miaka kama 7 iliyopita. Alinipenda sana, mpaka sasa...
4 Reactions
116 Replies
8K Views
Habari za saa hizi ndugu wanaharakati wa jf nafikiri bado mnaendelea kukuna vichwa vyenu ili muweze kutukusanyia na kutuletea habari mbalimbali zinazotokea kila kukicha. Shida yangu ni kwamba ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wangapi wako kitchen gala duncan house
0 Reactions
8 Replies
1K Views
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau, Nina shemeji/wifi yenu ambae bado hatujafunga ndoa kutokana na ratiba kumbana kila mmoja wetu. Mnamo mwezi Miezi ya hivi karibuni kumekua na harusi mbili zinazohusu watu wa ofisini...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Natafuta binti wakuchumbia awe mwaminifu,naitwa Kyaro elimu yangu chuo kikuu,ni mfanyakazi wa serikali
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa kitabu cha Biblia, ni kuwa Mungu alichukua ubavu wa mwanaume aitwae Adam na kumtengeneza mwanamke aitwae Eva. Hiyo ni dhana tosha kwa mtu wa kawaida kuamini kuwa mwanamke aliumbwa...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom