How many roads must a man walk down before you can call him a man? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How many roads must a man walk down before you can call him a man?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jun 29, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Habari za Asubuhi Wanajamii
  Heading nimeichukulia kwa pictorial purposes Ila point ni hii;
  Nimekuwa nikisikia sana kuhusu kuwa na experience kwenye mambo ya chumbani kabla ya kuoa/kuolewa. Hata kwa uzoefu wangu (Japo mdogo) wa hapa Jamvini watu wamekuwa wakisisitiza sana umuhimu wa hiyo experience.
  Mifano ambayo nimeisikia wakati nikikua ni hii;
  Kuna watu Fulani waliniambia:
  Petcash bora ufanye sasa hivi Ili ukiwa mzee uwe ulishafanya sana na umezoea usije ukaanza kutia aibu ukiwa mzee.
  PetCash : Kwani watu wote ni lazima wawe wahuni?
  Watu Fulani: Usipokuwa mnywaji wa pombe lazima uwe unazini/muasherati na ni lazima usipofanya ujanani utakuja kufanya uzeeni.
  (Mwisho wa kuwanukuu watu fulani)

  Kisha mzungu mmoja aliulizwa;
  Swali: Son, If you love her why don't you marry her?
  Mzungu: Because I haven't finished banging my quota!
  every man must bang his own quota of women before he settles down with the special one
  (Hapa nanukuu tu jamani)
  Hii imesababisha wanaume wengi kuamini kwamba ni lazima angonoke
  na wanawake kadhaa kwanza kabla ya kuingia ndoani(sijafanya utafiti kuhusu women)...

  Swali kwenu wanajamii;
  If a woman was a road and banging walking
  (DISCLAIMER: Mtoa mada hakumaanisha kumtusi ama kumbagua yeyote amenukuu tu vitu kama vinavyotajwa huko mtaani)

  How many roads must a man walk down before you can call him a man?

   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Jamii ina uongo mwingi sana,na huo ni mmoja wapo,pia kumfananisha mwanadam(mwanamke) na njia ni udhalilishaji!
   
 3. super thinker

  super thinker JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh........hii ni njia ya wazinzi kuhalalisha wayafanyayo, notion hii imetumbukiza vijana wengi sana uovuni kwa kjua or kutokujua wakifikiri ndio njia sahihi ya kupata the so called "experience" of Love. Watu wanaingia kwa ndoa na mengi machafu na masafi wanashindwa kutulia wakiendelea kudhani kuna kilicho bora - Hawaridhiki!!

  The Experience of Love is Love itself, be good, be systematic, be descent, have Love and Enjoy Life
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  daaaah kazi ipo,,,,
   
Loading...