Aisee nitafutie demu mwenye hadhi ya 'kuku mtetea'!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Hodi hodi tena wanjf!

Nimeona niwaletee kisa cha dereva tax mmoja aliyekuwa akipewa maelekezo
na mmoja wa mwanaume mkware hapa dodoma aliyekuwa akihitaji demu
wa kutumia naye jioni ya leo.

Baada ya kutoa maelekezo ya aina ya umbo na rangi ya huyo mwanamke,
mwishoni akamwambia: 'Aisee huyo demu zaidi ya vigezo vyote hivyo, lazima
'awe na hadhi ya kuku mtetea'. Nilipomuuliza dereva tax jamaa
alikuwa ana maanisha nini kwa kutumia neno kuku mtetea, akanijibu kuwa
'hapo demu lazima awe demu ambaye bado hajazalishwa na ambaye walau kifuani
'kunatia matumaini'.

Nikabaki hoiiiiii!
 
Back
Top Bottom