Baba Amruhusu Binti Yake wa Miaka 14 Kufanya Mapenzi na Mwanaume

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
6488686.jpg


Baba mmoja wa nchini Australia amejikuta akiingia matatani kwa hatua yake ya kumruhusu binti yake mwenye umri wa miaka 14 kufanya mapenzi na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26 ndani ya nyumbani yake kisa akiogopa binti yake asije akatoroka na mwanaume huyo.
Katika kesi hiyo ambayo imedaiwa kuwa ya kwanza kutokea nchini Australia, Baba huyo mwenye umri wa miaka 14 alihofia binti yake asije akatoroka na mpenzi wake mwenye umri wa miaka 26 hivyo akawaruhusu wawe wanafanya mapenzi mara kwa mara ndani ya nyumba yake.

Baba huyo alikiri mashtaka aliyofunguliwa ya kumsaidia mtoto wake wa kike kuingia kwenye mapenzi na mtu mzima.

Baba huyo alisema kuwa binti yake alitishia kutoroka na mwanaume huyo hali iliyopelekea akubali huyo mpenzi wake awe anakuja nyumbani kwake kufanya mapenzi na binti yake.

Mwanasheria wa baba huyo alisema kuwa baba wa binti huyo alibaki na maamuzi mawili ya kuchagua mojawapo, aruhusu mapenzi yafanyike ndani ya nyumbani yake au akubali mtoto wake atoroke na mwanaume huyo na kwenda kuishi sehemu nyingine.

Baba huyo mkazi wa Hobart katika jimbo la Tasmania nchini Australia anasubiri hukumu yake wakati mpenzi wa binti yake tayari ameishatupwa jela kwa kufanya mapenzi na mtoto chini ya miaka 17.

Baba Amruhusu Binti Yake wa Miaka 14 Kufanya Mapenzi na Mwanaume
 
teh teh, hapo mdingi alifanya maamuz magumu. napata picha kama ingekuwa mzaz wa kibongo eti binti anatishia kama hataruhusiwa kugongana na mpenz wake anatoroka, angepata kichapo cha haja, kwanza huko kusema tu ana mpnz ingekuwa balaaa, kweli ya mzungu tuwaachie wazungu
 
whadafaq!!! that dad is FAIL (labda ni ndugu yake wazazi wa lulu). Afungwe na kupoteza custody ya mtoto, wazazi kama hawa ndio sababu tuna ustawi wa jamii na adoption

uzunguni mtoto lazima afuate maagizo ya mzazi, akitoroka na huyo 26 y/o basi the 26 y/o atashtakiwa kwa rape
 
Kama baba sio mvuta bangi au teja wa kitu chochote, basi jua yalikuwa maamuzi magumu sana.

Ukute binti kajicheza akiwa 8 baba afanyeje sasa.

Na ng'ombe akizoea kulala na wakubwa wenzie humrudishi kwenye kundi la ndama asilani.
 
Mambo ya wazungu ni kizunguzungu tu.Unaingiwa na kizunguzungu unapolazimika kufanya kimoja kati ya kibaya na kibaya zaidi.
 
Back
Top Bottom