Jamani nisaidieni sielewi hiki kinachonitokea kitandani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nisaidieni sielewi hiki kinachonitokea kitandani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tafakuru, Jun 29, 2012.

 1. T

  Tafakuru Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wadau mimi nna mchumba wangu nampenda kupita maelezo. Imetokea kila tunapofanya mapenzi nnajitaidi nismamie show nimridhishe kabisa kabisa. Sasa kila anapofika pick/kileleni basi nnaeza nkawa nnamalizia malizia mambo au bado kidogo afike pick analalamika sana sana tumbo linamuuma afu ananikataza nisiendelee na kazi maana anaumia sana. Wadau hii maana yake nini??? Yeyote anaejua namkaribisha kunijuza, nnaamini waschana wanajua zaidi
   
 2. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  nenda nae taratibu tatizo unaona anakaribia kufika kileleni wewe una pump ka unacheza mganda
   
 3. situmai

  situmai Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  i think huwa unaisahau kama uko na binadamu, ukikaribia kileleni inabidi uendelee taratibu na sio kama mbwa bwana
   
 4. RUBERTS

  RUBERTS Senior Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usije ukawa una-deal na mapepo. Maana hata kama ndo angekuwa anaanza mchezo huo hawezi kulalamika kwa maumivu. Sana sana atatetemeka kwa kutojua kinachomtokea kama ni raha ya kawaida au la. Mwulize kama inatokea kwako tu au na kwa wengine aliowahi kuwa nao. Lakini kuwa makini ktk kuuliza historia yake hiyo ya nyuma, maana anaweza akakuchakachua kwa kujifanya hajawahi kutembea na mtu zaidi. Waongo kweli watu hawa, aha ha ha ha.
   
 5. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Nasikitika kwa kusema huyo "mchumba....' ukweli huyo si mchumba ako! kuna mambo mengi hapo inawezekana urefu wako si wa kawaida halafu hicho kifaa unakitumia full legth, pia mwendo wako usiendeshe kama bodaboda
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  tumbo linamuuma? hii sijawahi kusikia au mzee una mashine inchi 9 nini? :biggrin1:
   
 7. i

  ishi Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Aende kwa daktari akapate ushauri zaidi
   
 8. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,119
  Trophy Points: 280
  Lazima aumie kwasababu bado ni mchumba sio mke kwahio unazini, yaani siku hizi adhabu ni papo hapo
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Mmmh, dalili ya infection kunako.
  Nendeni kwa dokta mapema
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Makubwa!!
   
 11. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kacheki U.T.I na Gono
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  hivi kwani infection ingekuweko tu wakati wa kufanya matusi tu?

  eti miye nimewazaa kuwa size ya mshedede hapa inahuu. like anagonga kizazi
   
 13. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  tafuta staili ambayo haiwezi kumuumiza mwenzako , pia jaribu kwenda taratibu usisokomeze limdudu lote japo kwa nusu nusu maana isije ikawa mkuu una extra hevy duty ... ikichanganya wakati wa tendo peleka nusunusu na taratibu kwa mnato
   
 14. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Subiri ndoa ndo muanze kudo na 2mbo ndo litaacha kumuuma maana hapo mnafanya uasherati.
   
 15. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sasa wewe unashughulika utafikiri unaduwa(ngoma ya wabena na wahehe),unadhani ataachaje kuumia?
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kuna maumivu ambayo mwanammke huyapata wakati mwanamme anaporelease fluids yale maeneo.
  Kuna vitu kama michubuko au vidonda huwapata baadhi ya watu
  It's very rare lakini ipo, tena naskia ni maumivu makali sana

  Kama anataka kujaribu amruhusu akatest kwa mwingine, akiumia ajua ana michubuko
  asipopata maumivu bali kweli ni mshdede

  Kuna mtu namfahamu alikuwa na hili tatizo akaenda tibiwa haspitali akakuta na michubuko.

   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,704
  Likes Received: 12,755
  Trophy Points: 280
  Ukirudia tena kufanya mchezo mbaya na huyo binti wakati huja muoa lazima ufie kitandani kama unabisha rudia.
   
 18. Emma.

  Emma. JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 19,923
  Likes Received: 3,001
  Trophy Points: 280
  Nendeni hospital nadhani ntapata matatibabu na kupona kabisa
   
 19. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,952
  Likes Received: 1,825
  Trophy Points: 280
  atleast week haijaisha vibaya leo nimejifunza kitu kipya toka kwako aisee Kongosho. Hiyo njia yako ya kuprove sikubaliani nayo aisee lolest!

  ila miye mara nyingi sana nimewahi kuona watu wenye size xl ya mshedede patnazi wao huwa wanalalamikia sana hili tatizo na liko sana kwa wale wenye tuth kubwa halafu they are rough riders. wao wanaexceed limit unakuta hadi pale kwenye kizazi kabisa wanagonga hadi kupachubua.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Michubuko ya mshedede ni kama 'moto' afu nadhani pote tu panauma afu panauma muda wote wa tukio.

  Ila maumivu ya michubuko yanakuwa kwenye tumbo la chini sasa sijui ni kwenye kizazi
  Na hii inauma pale anapoanza kuachia mzigo, anaweza mwanamke kupiga hata kelele kwa maumivu

  Nadhani hii inakuwa michubuko kwenye tumbo la kizazi
  Ila kwa mabinti waache kuchoropoa mimba
  Sisemi kila anayepata katoa mimba ila ??????

  NOTE: Am not a dokta, am a mama ntilie, siwezi simulia sana NAONA AIBU

   
Loading...