Una miaka 37-45? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una miaka 37-45?

Discussion in 'Love Connect' started by dorcas1234, Mar 15, 2012.

 1. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi ni mwenye siha njema,nafanya kazi hapa dar,ni mkristo niko na 30 yrs,
  kama wewe mwanaume unaizo sifa chache unakaribishwa.
  Najua wengi mtananga kama ilivyo ada,yeyote atakaye PM atajibiwa.Tafadhali kama huna nia usijaribu.
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Mi nimeshindwa hapo kwenye bold tu......

  Vipi kama:
  1. Ana mke, uko tayari kuwa mke wa pili?
  2. Ana virusi vya UKIMWI uko tayari kuishi naye kwa matumaini
  3. Kama ni mlemavu?
  4. Hana kazi?
  5. Hajaenda shule
  6. Ni muumini wa kubadilisha vimwana (japo hapigi mtungi)
  7. Ana kojoleo size ya mguu wa mtoto wa darasa la tatu?
  8. Ana kibamia kama cha Bagamoyo kilichokosa samadi.....?
  9. Ana matege na kikojozi?

  Siyo nakumanga ila nahisi hukuweka vigezo vyooooote stahiki.
  Nakutakia kila la kheri.
   
 3. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,311
  Likes Received: 8,412
  Trophy Points: 280
  ayaaa!unabahati mbaya sana na mimi bbie.tayari nimeshaoa.....
   
 4. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  kha! sasa haya yote yanakujaje jamani? mi nadhani walio walengwa watakuwa wamenielewa,kuwa mlemavu si ajabu kwani hayo nimaumbile tu maana hata wewe huijui kesho yako,nakuhusu shule sifikirii kama kuna mtu mwenye digrii ya mapenzi,Walengwa wamenielewa.
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hata mlemavu wa kijinsia?
   
 6. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  All the Best Dorcas....
   
 7. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unamaanisha nini? sijakupata vema nakama yupo pia ana haki yakuwa namke ,tusiwatenge hao ni wenzetu.
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160

  An impotent guy?
   
 9. k

  kodak12 Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usijali Dorcas ,maneno ya wanajf yasikutishe wewe simamia unachokiamini,Mungu akutangulie.
   
 10. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Usijali vuta subra utampata mwenye kheir na wewe.
   
 11. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  asante Asabaya,umenitia moyo.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dorcas...any excess luggage divert them to me.
   
 13. A

  Anaeljackob New Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi Dorcas Mimi najiamini ni mwanaume mwenye muonekano mzuri situmii kilevi cha aina yoyote na siha yangu ni njema Nimeajiriwa na kampuni moja ya wa Irish na ni mkristo mwenye umri wa miaka 40 nina watoto wawili ni wakubwa mmoja yupo secondary mwingine Primary kabila langu ni mchaga naomba Tuwasiliane tuangalie jinsi ya kuwa pamoja.
   
 14. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 561
  Trophy Points: 280
  Anael Jackob unamaanisha umeamua kujiunga JF maalum qa ajili ya kuunganishwa na Dorcas. Hongera na nakutakia mafanikio mema katika mawindo yako.
   
 15. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  docas alipangalo mungu linakuwa hivyo vuta subira mambo mazuri hayataki haraka, na mangi tayari kagonga kengele
   
 16. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  nakutakia maganikio mema dorcus. Hakika utampata umtakae mwana jf. kuna wengine hawajajiunga so watashindwa kukupm ontime labda wajisajili. kama vipi weka namba ya simu ya tempo kwa shughuli hii.
   
 17. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duuuhh!! Bro! ume-join kwa ajili ya hii post tu au? nauliza tu!
   
 18. k

  kiparah JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Lakini si amesema U-PM?
   
 19. Agea

  Agea New Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure,contacts zako ziko wapi??
   
 20. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mangi hayuko serious, nilisema aliye serious ani PM.
   
Loading...