mbalu
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 550
- 242
Jana nikiwa ktk pitapita zangu nililazimika kuingia ktk mgahawa fulani ili nisumbiri jamaa yangu, ambapo nilikaa meza jirani na vijana waliokuwa wakijadiliana vitu mbalimbali, lakini ktk mada iliyonivutia ni hii, eti mwanaume alieoa huamshwa alfajiri na mkewe kwa kupapaswa, lakini bachala yeye huamshwa na mkojo. Nilishindwa kuendelea kusubiri mwisho wa michango yao kwani niliondoka baada ya mwenyeji kuja nichukua na kuhama eneo hilo, je kuna ukweli wowote hapo?