Am totally Finished | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Am totally Finished

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gracious, May 21, 2012.

 1. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Wadau,

  Leo yamenikuta.My IreneRose,Nilishwahi kupost hii thread kumuhusu yeye.

  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/252254-she-makes-me-cry.html#post3720071

  Nampenda sana huyu binti sana tu.Usiku huu sijui hata yuko wapi.Alikuja jana saa 10 nyumbani kwangu na rafiki zake na dada yake,tukacheza mpira baadaye tukaishia kwenye cards then dinner,akaondoka kwenye saa mbili usiku kwenda kwao.Alivofika tu kwao ankanipigia simu kwamba amesahau chip ya Simu ya Vodacom,ikabidi arudi haraka akaichukua but nilimuona hayuko sawa.Nikamuuliza kuna ulazima gan wa kufuata chip mda huo akanijibu kna rafiki yake alitaka kuongea nae.Nikampeleka hadi kwao ila sikushuhudia hadi aingie ndani.

  Saa 3 na nusu nikampigia simu,hakupokea na simu ikawa inakatwa.nikapiga kama mara 7 hivi simu inakatwa.Nikampigia dada yake akaniambia hayupo nyumbani na wao wanajua amekuja kwangu,then nikamwambia kwamba siko nae.akampigia hakupokea simu yake pia.Ikafika saa tano na nusu wazazi wake wanampigia hapokei.Nikampigia kaka yake amtafute na simu yake pia haikupokelewa.

  Nimezunguka kwa ndugu na rafiki zake karibu wote hawajui aliko,wazazi wamepiga simu kote hawajui aliko.Saa sita usiku dada yake akafanikiwa kuongea nae,Jibu alilompa ni kwamba yuko sehemu salama wasimtafute,ila hakusema ni wapi.Simu yangu haipokelewi kabisa,Sms kama 12 hivi zote hazijibiwi.Saa saba usiku simu ikazimwa.

  Nimeshindwa hata kupata lepe la Usingizi,Sijui yuko wapi mpenzi wangu.

  Wadau;
  1.Hivi sio dalili za kuwa betrayed kweli?
  2.Kinachonishangaza hajawahi kulala nje pasipo wazazi kujua yuko wapi,what is this guys.Am stranded sijui nifanyeje,Au watu wameshanichukulia nini

  3.Kwa nini wanawake hampendeki bana............??? Sorry inaweza kuwa kwa huyu wa kwangu maybe
   
 2. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ukiona manyoya ujue ....kaliwa!pole sana mkuu ndio wanawake wa kizazi cha JK
   
 3. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  unampenda sana kiasi kwamba uwezi mwacha,pigania penzi lako, but hiyo ni dalili kwamba kuna mtu anamdinya,ingekuwa mini natupa kule..... Naanza maisha mapya...
   
 4. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano anafanya yote hayo kwakuwa anajua wewe kwake huruki,na pengine ana uhakika kuwa atakaporudi ataku-soundisha then utamuelewa. U r not finished yet,na wala usimhukum mpk akueleze mkikutana...ukiona kona nyingi,the only option left is to follow ur heart.
   
 5. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Mkuu,Inaniuma sana manake nimegharamika sana kwake
   
 6. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  HEART,Sijalala kabisa,nimekaa hapa na laptop yangu tangu jana.Sijui ni maelezo gani atakayo nipa yaka sound kama ukweli.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. L

  Lady G JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  duu hivi bado kunamapenzi ya kukoseshana uthingidhi lol. Soma ile thread ya kila kitu fake, ndo mapendo ya thikuhidhi. Poleeee
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  inauma mtu unakua na wasiwasi na mtu unampigia simu hapokei unafikiri amepatwa na dharura kumbe yuko mahali anajivinjari....
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dont start to assume things, mwache arudi akupe maelezo. Labda kuna yalomsibu sometimes you need LONE time.
   
 10. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  dude i hate to burst your love bubble but huna chako.....
   
 11. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Acha tu Lady G,Shukuru mungu hayajakukuta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #12
  May 21, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Acha tu Lady G,Shukuru mungu hayajakukuta
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Am sorry to tell you this, but you should forget her. Ukimng'ang'ania na ukamuoa maisha yenu yatajaa mashaka na kutoaminiana. Wapo wengi tu mtaani, utampata mtulivu.
   
 14. b

  bob68 Member

  #14
  May 21, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu mapenzi ya sasaivi ni pasua kichwa hapo umehisi tu upo kwenye hali hiyo ukija kuta msg si ndo utapata heart attack,anyway ilo ni janga la kitaifa si wewe tu ndo limekukuta mwenzako niliamua kutafuta mbadala nilipo gundua nikampiga chini kwa miezi mi3 halafu nikapata mwingine akaja akaambiwa siku kaja home ghafla kanikuta na huyo gal tena anakhanga moja.........ikamuuma kesho akanipigia tuongee nikamsikiliza nikamwambia nitakufikiria.....sasaivi ana adabu hatari...simu haiiti mara2 kashapokea.hii ni kukuonyesha kuwa si wewe tu we endelea na shughuli zako kama vipi cheza mind game ukikutana nae usionyeshe kumind though ni ngumu ila itamjengea maswali mengi sana!!!!
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  May 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Matatizo yako unamfatilia sana huyo mwanamke, na kuna badhi ya wanawake hawapendi tabia ya kufatwa fatwa.

  Anaweza kuwa anataka kukutest kama utamuamini au hutamuamini.
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  May 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Jamani tuweni wakweli ama hii story ni ya kweli basi huyu binti hayuko kwa mwanamme kama tunavyoaminishwa hapa! ni nani mwenye uwezo wa kufanya uchafu huo bila hata kificho? hata hivyo nawalaumu wazazi wanaoruhusu mabinti zao kwenda kulala au kuishi kwa wanaume bila ndoa wala makubaliano yoyote yale! mkuu hili na wewe unahusika sana usingemjengea tabia ya kuja kulala kwako hata kama wazazi wanajua
   
 17. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #17
  May 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Karne hii mkuu?
   
 18. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #18
  May 21, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,817
  Likes Received: 10,107
  Trophy Points: 280
  Angemjengea tu hata heshima ya kiuongo ila mi nashindwa kuelewa yaani kweli binti akalale kwa mwanamme na nyie wazazi mpo? maana according to mtunzi ni kwamba kwa usiku ule wazazi pamoja na kaka na dada zake walijua ndugu yao yupo kwa huyu jamaa! na hapa ndio penye msingi wa hoja yangu kuwa inawezekanaje mtu hata ndoa hamna aje alale kwako bila hata kificho? kulala sio ishu kama ni wachache wanaofaamu but this seems ni familia nzima wanajua
   
 19. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #19
  May 21, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Mi nnavyojua miluzi mingi humpoteza mbwa...cha msingi,fuata kile moyo wako unaamin na unapenda,wewe ndo unaefaham uzito wa penzi lako kwake.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #20
  May 21, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana.
  Tangu uanze kujua ya dunia hii, umeshapata msiba kwenu ambao ilikugusa? Kama upo mimi sikushauri uendelee na huyo binti hata kama ulikuwa ni Baharia wa Chumvini, muone kama amefariki na hakuna mahusiano unless kama una mapungufu utazidi kuumia wakati yeye yupo kwenye mambo yake.
  Kwenye wawili mahali popote kila mtu anayo roho yake, mawazo yake hivyo usije ukaambiwa roho yake ni yako>
  Umeelewa kama hukuelewa basi imekula kwako tafuta sumu ya panya ikae karibu yako.
   
Loading...