Mikingamo ya Misemo ya Mapenzi........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikingamo ya Misemo ya Mapenzi...........

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Jun 14, 2012.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wapendwa, hamjambo? Nimewamiss sana aisee.
  Nimejikuta nawaza na kujicheka, hii mikingamo, migongano ya misemo ya mapenzi............................Eti

  1. If you love someone, let her/him go (if s/he want to) if s/he comes back to you.......then s/he was meant to be yours .........and yet kwa wengi ukimuacha then ukarudi kumbembeleza imekula kwako - Does it mean hakukupenda kiukweli?

  2. Love does'nt ask why and it conquers all,.............. then how comes kunakuwa na so much qualities, criteria and the like katika kumpenda mtu mf. dini, physical features e.t.c - Does it mean kuwa usemi huu ni wa uongo wala hauko practical au wanaopenda kwa kufuata qualities walizojiwekea hawakuwagi na mapenzi ya kweli?

  3. Mapenzi ni maua, popote huchanua...............yet wengine wanawezajizuia kupenda watu flan, mf. kabila, rangi, wenye mavazi flan e.tc. - Je ina maana hawa wanaojiwekea frameworks katika mapenzi hawana natural true love?

  eh..........Ni mingi tu ambayo hunifanya niamini kuwa hata neno Love kama lilivyokuwa coined na waliotunga misemo hii, ni fake, haliexist! (Soulmate wangu anasemaga, Love is a game (which to me it means that sounds like something coined, something which is not existing - tunaiforce tu)

  Naombeni mnisaidie maana naona nachanganyikiwa tu mie MwanajamiiOne wa watu.
   
 2. Dr. Wansegamila

  Dr. Wansegamila JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 1,233
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mimi sio mtaalamu katika haya mambo............ ngoja wenyewe waje
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Aksante Dr. Karibu kwenye Bench tuwangojee pamoja.
   
 4. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nachukia sana kauli hii kutoka kwa wanawake utasikia dear/sweetie nikwambie kitu ukisema eee unakutana na mzinga naomba laki mama anaumwa ..... Siku ingine tena mzinga wa saloon nina aleji na hilo neno la dear nikwambie kitu.....kodi imeisha nadaiwa one million dah
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kila nikuwaza namaliza kichane cha ndizi.

  Hutakiwi kuyaelewa mapenzi, unatakiwa kuyaishi tu.
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  HAhahaha TIQO dah mbona unaua best, pole aisee kweli inaudhi..............
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Kongosho, nafikiri uko sahihi aisee, Mapenzi kizungumkuti bora kuyaishi tu usijaribu kuyaelewa
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  We lisikie kwa wati na lisikae saana akilini mwako, huchelewi kuhesabu magari barabarani
   
 9. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kitu chochote kinachotegemea kemikali kwa ajili ya savaivo huwa ni kigeu geu tokana

  na vitu kama temp, energy, heat na bla bla kibao. Kitu cha ukweli ni fizikia. kitu kikitokea kimetokea.

  mamito mwanajamii achana na koti za love hizo za kweli kwa kipindi fulani tu. ona hii.

  "Love is a matter of Chemistry. Sex is a matter of Physics" chagua fizikia.
   
 10. data

  data JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,786
  Likes Received: 6,558
  Trophy Points: 280
  confusing.!!
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  MJI mamito nimekumiss ,naona sasa umeamua kabisa kujipa uchizi chagua kuishi ulimwengu wa kusadikika kwenye anga izo utakuwa huna kokoro wala kwere na mtu.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahahah Erotica hahah umepinda wewe kha! kuwa nichague fizikia hahaha dah!
  So kwa mstari wako huo wa mwisho unakinzana na wale wasemao kuna kumake love (With someone you love) na ku-have sex (ambayo you can have it hata na mtu usompenda eh?!)

  Unazidi kunchanganya ujue
   
 13. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umeona eh data? Yaani kha!
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Chauro mamii, nimekumiss pia aisee, mzima lakini?

  Hahaha kweli kabisa nataka kupata uchizi kwa kutaka kuwa Socrates wa mapenzi hebu nishindwe na kulegea ! Hata sijui nimewaza nini mie yarabi. Mnisamehe bure jamani ngoja niangalie uwezekano wa kubisha hodi kwenye ulimwengu wa kufikirika (ingawa nao siuelewi elewi!! kuwa nafikiria kuwa ananipenda na niamini kuwa ni kweli; kisha nifikirie kuwa hana mwingine zaidi yangu yet nkibamba sms ambazo si za kufikirika (ni real) nikae kimya na kujifikirisha ?! mwe!
   
 15. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ......mwanajamiiOne, kwa mtazamo wangu ukiyatafsiri mapenzi kwa lugha ya kigeni lazima utachanganyikiwa..

  Kwangu mie Mbu, nakubaliana na swahiba wangu mstaafu , Dark City ..kwamba kuna mapenzi na Upendo. Penye mapenzi huenda pasiwe na Upendo. Penye Upendo pana mapenzi yenye daraja la juu, -ya kiroho!

  .....ukibahatika kupendwa (nawe ukajua) unapendwa ki Upendo jijue umependwa kwa daraja la juu la mapenzi...

  Hivi, swali lako linasemaje vile?
  :confused:
   
 16. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  oh yeah umenena kweli kabisa...
   
 17. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0

  mamito mie sijawahi kupenda niko kuchukua twisheni 2 tofauti

  kwa Kaunga na cacico ya 3 naomba iwe wewe. hao wanao make lavu

  huwa wanashiba bila sex? siamini. it is time wanawake waanze kufikiria kama wanaume. teh teh teh.

  "Women need a reason to have sex. men just needs a place to have sex"

  umeona love ilivo elemea upande mmoja? wewe unadhani u ar making love kumbe ur man is having sex.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0


  teh teh teh. :dance:
   
 19. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahah Eti swali linaulizaje! we Soulmate wewe!
  Kwa tafsiri hii ninaamini napendwa teh teh teh:becky:

  Haya bana mkishakutana na Babu DC siwawezi, ninaombea asiuone mjadala huu maana atanipin kwenye angle hadi nikome mwenyewe.

  Hapo kwenye upendo vs mapenzi ndipo ninapojaribu sana kupaelewa ingawa mwe! Nahisi nahitaji external energy kuielewa
   
 20. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Wanadamu ni wanafiki,sio wakweli.Mwanadamu anataka mazuri lakini hataki kuwajibika kuyatenda.Ni rahisi kusikia nataka mke/mume mwenye upendo wa kweli nitaridhika.Mwisho wa siku anaanza kuangalia mwili hela na ujinga mwingine mwingi,mwisho wa siku hakuna kinachoendelea.Umezungumzia upendo,let me tell u,hakuna anaejua maana ya upendo,ukiujua yote mengine hayana maana!
   
Loading...