My ex has stopped to be a man....nimfanyeje?

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana ka-workshop kake wakati ex alikuwa kazi nzuri, pato zuri na kagari. Jana from no where ameanza kunitumia msg kuwa hapati ucngz na ananipenda ila ako na msichana mdogo mdogo amepachika tatoo kila mahali zimeandikwa jina lake. Eti ananisikitikia kwa kujishusha hadh kutoka kulala hotel nyota tano mpaka gest za elfu 10, anataka kujua huyo fundi cherehani ako na nini kumzidi? Nilimjibu kuwa am happy with my man though he isnt rich na pia nafurahi kuwa amepata binti dogo dogo aliejichora jina lake kila mahali...nilipomjibu hvo akaanza kuniambia nina nyodo na kiburi na msg zangu zote pamoja na picha tulizopiga pamoja atazibandika hapa jf, fb na kwa notes board ya ninaposoma. Pia atazifanyia photo shop za wadada walio uchi aweke sura yangu aone nani ataumia kati yetu. Nimebaki na mawazo je kilichomtia hasira mpaka aje anisumbue na kunikashfu ni nini? Je wanaume mkiachwa na nafasi zenu kuchukuliwa na watu mliowazidi hasa pato inawakera eeh? Je akijaribu kuniphotoshop nimfanyeje? Nipeni mawazo wakuu...! Nyc weekend
 
Da pole. Usiwe unamjibu wala usitake afahamu life status yako kabisa. Badilisha line ya simu achana naye. For your peace!
 
Pole sana kwa huo wivu wa kijinga wa ex.

Tafadhali usizifute hizo msg zihifadhi ili ziwe kama kiekelezo akija kufanya ujinga baadae.

Halafu wanaume wengine walivyo wajinga!
 
Da pole. Usiwe unamjibu wala usitake afahamu life status yako kabisa. Badilisha line ya simu achana naye. For your peace!

tangu nimeachana nae nimejaribu kukata mawasiliano yote, jana nilimjibu kwani nilikereka alivyokuwa anamsema vibaya mpenzi wangu wa sasa.
 
Du kwa hiyo ni great thinker wa JF huyo. Halafu ukute ni bingwa wa kuwashauri watu jinsi ya kutreat wapenzi wao vizuri, inasikitisha!
 
sio wote,huyo ni gumegume mchafu nayeye mtishie kumtafutia wahuni wa kumdonoa uwani,atakoma tu!
 
Pole sana dada,huyu mwache akiona hufurukuti basi atanywea mwenyewe. usitake mawasiliano naye kabisa.

Ila ikweli wanaume mnatutesa sana hebu tuoneeni huruma wenzenu, nasi pia twaitaji kuona raha ya maisha. Dunia siyo yenu peke yenu jamani.

Yaani Sabry001 umeniumiza sana manake, leo nimekutana na zahama huku tena na wewe umekuja na hili lol mwaka wetu huu.
 
Last edited by a moderator:
sio wote,huyo ni gumegume mchafu nayeye mtishie kumtafutia wahuni wa kumdonoa uwani,atakoma tu!
LEOrnad robert wala kumtisha mtu kama huyu ni kukaribisha ligi zisizokuwa na msingi. Busara apige kimya kisha amfungulie Rb ili akijaribu kumuumiza kisaikolijia sheria ichukue mkondo wake
 
Last edited by a moderator:
Did u say he is ur ex ama ur present?
Coz if he is ur ex, this is what u should do: MAKE HIM UR PAST
 
hizo msg zitunze, mchujulie rb huyo....

Kingine roho inamchoma, kakuta kuna miba huko ndo kakumbuka shuka wakati kumekucha......

Kama unaweza usiwasiliane nae, hata fb, m-block......

Na nyie wanaume sometimes mnakuwaje?????
 
Mwambie hizo picha tunazisubiri hapa JF (Jock)!
Naamini anakutishiti tu ili umkubalie, sababu kufanya hivyo naye atadhalilika, kwahiyo burudika tu na fundi wako, ila wala usimjibu, mpotezee!
 
wakati fulani muwe wakweli ninyi wakinamama!.....

no wonder...!unamuita eksi...again unaintertein chats za mapenzi...na vocha unamwomba akutumie.....!

king'asti hilo neno "make him your past" lina ujumbe mzito sana.....!mwenye kuling'amua naomba ashike neno
 
Pole sana dada,huyu mwache akiona hufurukuti basi atanywea mwenyewe. usitake mawasiliano naye kabisa.

Ila ikweli wanaume mnatutesa sana hebu tuoneeni huruma wenzenu, nasi pia twaitaji kuona raha ya maisha. Dunia siyo yenu peke yenu jamani.

Yaani Sabry001 umeniumiza sana manake, leo nimekutana na zahama huku tena na wewe umekuja na hili lol mwaka wetu huu.

Once i used kugeneralize tabia za wanaume bt now days nimegundua kuna wanaume wazuri pia! Gentlemen
 
Last edited by a moderator:
hizo msg zitunze, mchujulie rb huyo....

Kingine roho inamchoma, kakuta kuna miba huko ndo kakumbuka shuka wakati kumekucha......

Kama unaweza usiwasiliane nae, hata fb, m-block......

Na nyie wanaume sometimes mnakuwaje?????

fb akaunti nilidiactivate siku mingi. I wish to change my name hapa jf cjui nifanyeje?
 
wakati fulani muwe wakweli ninyi wakinamama!.....

no wonder...!unamuita eksi...again unaintertein chats za mapenzi...na vocha unamwomba akutumie.....!

king'asti hilo neno "make him your past" lina ujumbe mzito sana.....!mwenye kuling'amua naomba ashike neno

he is my past kwa kweli! I dont intertain mawasiliano ya aina yoyote na ndo mana nilishangaa what pushed him kunisms jana?
 
Back
Top Bottom