Imagine Kila Mwanaume Angepewa Fursa ya Kuumba Mwanamke Atakayemwoa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imagine Kila Mwanaume Angepewa Fursa ya Kuumba Mwanamke Atakayemwoa!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kingcobra, Aug 24, 2012.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Wadau,
  Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa hiyo ungeumba mwanamke mwenye appearance au mwonekano au umbile gani? Nauliza appearance kwa sababu najua kwa upande wa tabia kila mtu atasema mwenye tabia njema na mwenye heshima na bidii ya kazi, n.k.
   
 2. Beb

  Beb Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu asingetoa fursa hiyo cz wanaume wangejisifu wenyewe kwa uumbaj na c Mungu ila nafkiri una tatzo mayb umeumizwa o umetafta sana mpenz umtakae bila mafanikio ebu appreciate uumbaj wa Mungu amin yupo m2 aliyeumbwa kwa ajil yk..
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,707
  Likes Received: 8,251
  Trophy Points: 280
  Beb, UMEWAZA mbali.... Kingcobra, ongea vizuri na beb...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  ungeanza wewe bro,how will she look like!
   
Loading...