Nakupenda jinsi ulivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nakupenda jinsi ulivyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by AKON, Aug 22, 2012.

 1. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hellow great thinkers, how do you percieve the meaning of " NAKUPENDA JINSI ULIVYO"
   
 2. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hii statement inatoka kwa mwanaume ama mwanamke? kama ni mwanaume anamaanisha hata kama bidada ni MGONGO PASI yeye anaupenda huo huo mgongo pasi yani makalio yapo usawa mmoja na mgongo
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,687
  Likes Received: 82,538
  Trophy Points: 280
  Ameridhika hataki mkorogo uongezwe wala zile dawa za mchina za kuongeza nanihii.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  Mi nahisi ni lugha ndio inakutatiza.ungepeleka jukwaa la lugha pengine ungalipata jibu yakinifu
   
 5. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Hii kali, yaani hujijui jinsi ulivyo? jinsi ulivyo maana yake: Usiongeze wala usipunguze. Kama ni mchafu uendelee na uchafu wako, kama maskini usifanye juhudi zozote ili uendelee, kama mweusi usijichubue, kama bushoke usibadilike, ...
   
 6. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145

  Kwa kifupi sana, nikuwa mtu anakupenda bila kuangalia madhaifu uliyonayo!
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  VOILA!! i think that's the best answer
   
 8. AKON

  AKON JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  teh teh teh, kwa statement yako, je ungependa kupendwa kama ulivyo?
   
 9. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45

  kwa kuongezea pia yuko tayari kuyavumilia.
   
 10. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  japo wengi huwa tunautumia ili nipate ninachotaka yaani hatumaanishi kweli "kama ulivyo"
   
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  hapana nisingependa kabisa kuambiwa hivyo, mtu akikuambia hivyo anamaanisha kuna mambo mabaya au mapungu fulani uliyonayo lkn hana jinsi ataendelea kuwa na wewe kwa sababu zake binafsi. Akiniambia hivyo nitamlazimisha ayaweke hayo mambo wazi ili niyajue halafu nitayapima kama na stahili kuwa ndani au nje ya mahusiano.
   
 12. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #12
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,369
  Likes Received: 994
  Trophy Points: 280
  siipendi kabisa hiyo sentesi..
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmataka kufanya mapenzi kuwa magumu mno, sasa hivi tutumie maneno gani kwa wandani wetu??

  Kila neno fake!!??!! Wakati spelling ziko sawa.
  Mnanichosha.

  Mie nampenda jinsi alivyo.
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kuna watu wanaudhi lakini unawapenda. Umeshawahinkuudhiwa na mtu lakininunajikuta hata wakati unalalamika unacheka na kutabasamu. That is what we call love, unconditional love.
  Ngoja nikamjibu AshaDii, nimeshajua kwa nini niko na kaka yake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,673
  Trophy Points: 280
  Akon? . . . . . . . . . . . . . . .!!
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Kafanyaje?
  Hebu wahi kafanye damage control kule, housigeli wa wifi kaunga is pregnoo, you are my first suspect. I will kill you:croc:
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Aug 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha, unamuonea bro wako bure; maana hajawahi na wala hawezi nisaliti; ndicho nilichompendea au umesahau! LOL
   
 18. Asulo

  Asulo JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 733
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mkuu huyo amekubaliana na hali yote ulonayo na yupo tayari kukuchukulia kama sehemu ya maisha yake.
   
 19. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Naipenda JF jinsi ilivyo ........
   
 20. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  swadata!
   
Loading...