Dhana ya mapenzi na mitandao ya kijamii.

kimweri Jr

Senior Member
Jun 9, 2012
131
41
Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.
 
Hakuna ubaya wowote kutafuta mpenzi mtandaoni ali mradi ujue nini unatafuta na uwe mkweli. Hii trend ya kutafuta mapenzi mtandaoni haipo Tanzania tu bali katika nchi nyingi duniani na katika nchi nyingine kuna makampuni ambayo yanatoza fee ili kuweka vimbwanga vyako na pia wao kukusaidia kutafuta kwenye mtandao wao kutokana na vigezo unavyohitaji toka kwa mpenzi mtarajiwa.

Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF tusaidiane katika hili japo, mimi nadhani ni ukiukwaji wa mila na desturi za kiafrika.
 
Hii ni opportuinity kwa vijana kutokana na kukua kwa teknolojia. Kwangu mimi naona ni kitu kizuri cuz ni njia rahisi, ya haraka na ya uhakika ya kujipatia mwenza.

Nakumbuka zaman watu walikuwa wanatumia magazeti kutafuta wenza. Hii ilikuwa ni ngumu sana. Kukua kwa mawasiliano kumerahisisha mambo.
 
kimweri Jr kule kwetu vunjo enzi hizo mtu alikuwa anaviziwa akiwa anakwenda ama dukani au kuteka maji anawekwa begani then taarifa zinatumwa kwa wazazi kesho yake tena kwa ujumbe mzito wenye wazee na mbuzi........ndio ndoa tayari hapo kwani binti akishalala kwa mwanaume na wazazi wakajuwa hilo hawezi tena kurudi kwa wazazi wake.... Wengine huko kusini nasikia ilikuwa ngwara tu kwani hata umwage sera kivipi huwezi kuambiwa sawa au nakubali....ndipo wakatokea kina niangusage tu...sambi sako mwenyewe.....sasa unataka turudi huko??

Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
 
Matumizi ya technolojia, sawa!! Lakn hofu yangu ni kwamba kama watu wataendelea kuitumia technolojia ya mitandao ya kijamii kutafuta kujenga familia je, leo mtoto nae akija kuamua kufanya hivyo na pengine hata zaidi hivyo kwny hiyo technolojia mzazi huyu wa dotcom nafac yake ni ipi ktk kumfunza na kumuelimisha mwanae juu ya ma2mizi ya hiyo technolojia'? Pili, kwani ni kweli kwamba taratibu za kiafrika sasa hazfai mpaka tu2mie za kimagharibi? 10x.
 
lol! umenikumbusha story moja niliyoisikia hivi karibuni. Kuna kilema (wa kutambaa) mmoja alikuwa anavizia kufanya hivi kwa mrembo mmoja ambaye alikuwa ametembelea nduguze. Bahati nzuri nduguze wakastukia ile game baada ya kuona kundi la vijana likiwa limekaa bondeni tayari kufanya vitu vyao na wao walikuwa kama kwenye mlima hivi. Hivyo alipokuwa anaondoka wakamwambia asipite njia aliyojia bila kumwambia ni kwa sababu zipi naye bila hiana akakubaliana nao. Baadaye ndio wakaja kumwambia game yote ilivyopangwa. Aliwashukuru sana maana anasema angekuwa ameolewa na kilema.

kimweri Jr kule kwetu vunjo enzi hizo mtu alikuwa anaviziwa akiwa anakwenda ama dukani au kuteka maji anawekwa begani then taarifa zinatumwa kwa wazazi kesho yake tena kwa ujumbe mzito wenye wazee na mbuzi........ndio ndoa tayari hapo kwani binti akishalala kwa mwanaume na wazazi wakajuwa hilo hawezi tena kurudi kwa wazazi wake.... Wengine huko kusini nasikia ilikuwa ngwra tu kwani hata umwage sere kivipi huwezi kuambiwa sawa au nakubali....ndipo wakatokea kina niangusage tu...sambi sako mwenyewe.....sasa unataka turudi huko??

Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
 
sasa unataka turudi huko??[/FONT][/SIZE]

Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
[/QUOTE]
mkirua kule kwe2 korogwe wazee wanatumwa kwa wazazi then wazazi wanakutana then mnakutanishwa baadae mnaungamanishwa. Mimi cna nia ya kuwarudisha huko swali langu ni kwamba kwani tumeshaondoka huko? Kwann tuliondoka kama ndio? Je, mkataa kwao siyo mtumwa? Na ni kweli taratibu za kwetu sasa hazifai? Binafsi alternative ni mila na desturi zifuatwe avae...!
 
sasa unataka turudi huko??[/FONT][/SIZE]

Kama jibu ni hapana basi tujiulize kwanini? what are the alternatives?
mkirua kule kwe2 korogwe wazee wanatumwa kwa wazazi then wazazi wanakutana then mnakutanishwa baadae mnaungamanishwa. Mimi cna nia ya kuwarudisha huko swali langu ni kwamba kwani tumeshaondoka huko? Kwann tuliondoka kama ndio? Je, mkataa kwao siyo mtumwa? Na ni kweli taratibu za kwetu sasa hazifai? Binafsi alternative ni mila na desturi zifuatwe avae...![/QUOTE]

Hili jambo linajikita katika dhana nzima ya utamaduni na kama unavyoelewa utamaduni hukua, kubadilika na hata kufa ambapo utamaduni wenye nguvu huweza kuutawala utamaduni DHAIFU.....hiki ndicho kinachotokea sasa!
 
Ukweli kuwa hii njia sio sahihi kabisa kutafuta mwenza kwenye mitandao'ukitaka kujua ina madhara kiasi gani jaribu kutazama je wangapi wanalia kwa kutapeliwa kwenye mapenzi ya mitandaoni? Jibu utaona kuwa ni watoto wa kike sana wanaumia'japo na wao sasa ndio wameanza kucharuka kuwaliza wanaume'
Nina rafiki yangu flani wa kike aliwahi kuniambia ana rafiki zake ambao wanatumia fcbk wana id nyingi sana na kila id ina mpenzi wake'sasa hapo tunatengeneza bomu ambalo likijalipuka madhara yake ni makubwa sana,
Nimetumia sana social lakini sijawahi kutafuta mpenzi ndani ya social'naamini kuanzia mtaa nao ishi mji nao kaa kuna warembo wengi wenye sifa'msidanganywe na picha zao
 
Vipi kuhusu kumwaga "vesi" kwenye simu?Nayo ni noma au?Acheni hizo,mbona mai waifu Kaunga nilimpata humu na tunakula bata?
 
Last edited by a moderator:
Mitandaoni wamejaa matapeli, siamini kama unaweza kupata mpenzi aliyetulia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom