Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Namaanisha Mwanza na Musoma na vitongoji vyake, Mimi ni mgeni huku,nimekuja kikazi pande hizi, natafuta kampani(girls only) tubadilishane mawazo(zaidi ya kimaendeleo) nyakati za jioni(baada ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Pengine umebeba mateso ya ndoa za kuvumiliana ..si wakati wake huu na najua tatizo laweza kuwa wewe binafsi wapo mabinti wazuri wanaooa wakijua wanakwenda kuwabana waume zao kwa njia mbali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Helo my dears kwanza nianze na story hii juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga...
6 Reactions
485 Replies
34K Views
mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 natafuta mpenzi wa kumuoa kwa baadae kama atakuwa na tabia nzuri kam upo tayari piga namba 0656179600 jua kuwa namaanisha. maana niliwahi kuandika lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
habari zenu wanajamvi. Mimi ni binti wa kike, ambaye moyo wangu u mpweke. kwamara ya kwanza najitokeza jamvini kumtafuta rafiki wa kiume mwenye nia ya dhati ya kuwa na mahusiano ambayo yatalenga...
4 Reactions
69 Replies
6K Views
habarini wanajf mimi ni mkaka nna shida na mdada yeyote ambae amechaguliwa pale chuoni nna mambo mazuri na ya heshima nataka anisaidie. naomba tuwasiliane kwa email, nkwilehii@gmail.com au namba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
poleni na kazi wanajamii. Nina rafiki wangu wa karibu sana tangu secondary na sasa hivi tupo chuo. amepata shida hii na ameniomba msaada wa kiakili nkasema niwaambie na nyie ndugu zangu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu wangu wana MMU salama? Nimewamiss sana kwa kweli....!TUPO PAMOJA KUNA KITU NAJIULIZA SANA for some three/four days now -Kwamba wakati mwingine inatokea ''YOU LOVE SOMEONE'' lakini ''YOU...
8 Reactions
287 Replies
21K Views
Nimepata matatizo sana katika mahusiano lakini huwa napotezea sasa sijui ni nini tatizo wengine wananiambia nitampata atakayenipenda ila mpaka lini au tatizo sina hela kama ni hivyo sisi masikini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Here comes the story part I. Jana 21.08.2012 nlipotoka job, wife alinipa taarifa kuwa mdogo wangu wa kike (mwenye salon ya kike kimanga) alimpigia simu kuwa amepata msichana na atakuja nae home...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Siri hii nimeipata baada ya kuzungumza vizuri na wakina dada baadhi ninaoelewana nao sana....so mlio oa kuweni makini na watu wenu!!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana jf wa Kahama mimekua hapa Kahama kwa mda wa mwaka mmoja sasa lakini sijapata mtu wa kuhusiana nae mahusiano ya dhati hivyo kama kuna mtu yuko interested naomba ani PM. Mie ni mwanamme mwenye...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
I am dedicating this thread to my brother MAGULUMANGU An elderly lady was invited to an old friends home for dinner one evening. She was impressed by the way her lady friend preceded every...
1 Reactions
0 Replies
773 Views
Inawezekana kuna kuna kuna watu nitawakwaza ....labda !lakini mtanisamehe ! Miezi miwili iliyopita nilbahatika kuwa mkoani Kagera kwa shughuli za kikazi .Nilibahatika kutembelea wilaya zote 8...
0 Reactions
12 Replies
13K Views
Please never take a small or minor mistake for granted because no matter how minute, an error can be very costly in life. My friend went to the confectionery and asked a baker to print 1st John...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Nina miaka 43,natafuta mwanamke anaeitaji mume na ambae yuko tayari kuolewa,sitaki vijana ni waongo sana wengi wana malengo binafsi,natafuta mwanamke kuanzia miaka 40 na kuendelea,kama unaitaji...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Heshima kwenu brothers and sisters nilikuwa nachek thread ya smile ya mwanamke kwenda kwa mume na kila kitu haipendezi. Nikakumbuka na kisanga nilichokutana nacho kwenye harusi ya xul mates...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Ni maneno yaliyoko kwenye mahusiano kila siku na kwa tafsiri hayana tofauti, sasa mjadala uko hapa......Kuna rafiki yangu anasema akiwa kwenye mahusiano na mpenzi wake akawa anamwambia "I love...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Yani huwezi amini nina bro wangu yani nanii yake ikiwa haijasimama inakuwa kama ya mtoto wa miaka 7but akienda mnara bonge la dude na anaona aibu hata kuvua nguo mbele ya masela zake na hata mbele...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo na jamaa zangu hapa, nimeshangazwa sana na kitu hiki sijawahi kusikia maishani mwangu mpaka sasa miaka yangu 24 hii. Jamaa wanasema eti kunyoa kiduku/kuweka wave kwenye ma***zi na kuzinga...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…