platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,363
- 11,147
Ni maneno yaliyoko kwenye mahusiano kila siku na kwa tafsiri hayana tofauti, sasa mjadala uko hapa......Kuna rafiki yangu anasema akiwa kwenye mahusiano na mpenzi wake akawa anamwambia "I love you" anaona kama imekaa ki-fake fake lakini akiambiwa "nakupenda" anaona ni imekaa ki- orijino orijino, na kifupi inampa rahaa.
Anajua vitendo hutoa tafsiri halisi ya kile kinachosemwa lakini kwa mtazamo wake "mwanzo wa hayo yote ni maneno"
Haya waungwana sijui ninyi mwatizamaje hili na pengine twende mbali hata kwa:
Pole v/s sorry
I miss you v/s nimekupoteza!!!
n.k