he doesnt know what to do

kashuzi critical

New Member
Sep 7, 2012
4
0
poleni na kazi wanajamii. Nina rafiki wangu wa karibu sana tangu secondary na sasa hivi tupo chuo. amepata shida hii na ameniomba msaada wa kiakili nkasema niwaambie na nyie ndugu zangu.
alianza mahusiano akiwa kidato cha nne na alikuwa na furaha sana yeye na mwenzi wake. Wakachaguliwa kidato cha tano na wote wakaenda shule moja wakasoma na kufaulu kujiunga na vyuo vikuu ambapo mmoja(bibiye) amenda dar-es-salaam na mvulana kabaki Arusha. wamekuwa katika mapenz mazito kwa miaka minne xaxa ila tangu mwanamama afunge chuo amekuwa haeleweki. Mara anamwambia mvulana waachane mara warudiane na mvulana hana jinsi maaana huyo mwanamama ndo mvulana ametokea mpenda. mbaya zaidi mwanamama hataki kufanya ki2 chechote na mvulana. meeting point lazma iwe public place.
Juzi mvulana kawa mdogo ili atetee penz lake but mschana kawa mgumu kuelewa mpaka muda huu hapokei simu za rafiki angu wala hajibu meseji.. jamani sas ndugu zang huyu jamaa yangu afanyaje maana kumuacha hawezi maana ndo first Love na mwanamama haeleweki..... naombeni msaada wenu jamani.
 
Teenagers syndrome !!!Anataka nini hasa........ku-do au mapenzi?....halafu mwambie asome
 
asome kwanza.....hakuna mwanamke mzuri kama elimu sayari yote hii ya dunia.....
 
Mmh, yaani hiyo picha haielewi tu??? Huku Dar keshaliwa hadi basi
 
Hapo penye Rangi, ushauri wa nini wakati jamaa alishafanya maamuzi ya kutokumwacha!

poleni na kazi wanajamii. Nina rafiki wangu wa karibu sana tangu secondary na sasa hivi tupo chuo. amepata shida hii na ameniomba msaada wa kiakili nkasema niwaambie na nyie ndugu zangu.
alianza mahusiano akiwa kidato cha nne na alikuwa na furaha sana yeye na mwenzi wake. Wakachaguliwa kidato cha tano na wote wakaenda shule moja wakasoma na kufaulu kujiunga na vyuo vikuu ambapo mmoja(bibiye) amenda dar-es-salaam na mvulana kabaki Arusha. wamekuwa katika mapenz mazito kwa miaka minne xaxa ila tangu mwanamama afunge chuo amekuwa haeleweki. Mara anamwambia mvulana waachane mara warudiane na mvulana hana jinsi maaana huyo mwanamama ndo mvulana ametokea mpenda. mbaya zaidi mwanamama hataki kufanya ki2 chechote na mvulana. meeting point lazma iwe public place.
Juzi mvulana kawa mdogo ili atetee penz lake but mschana kawa mgumu kuelewa mpaka muda huu hapokei simu za rafiki angu wala hajibu meseji.. jamani sas ndugu zang huyu jamaa yangu afanyaje maana kumuacha hawezi maana ndo first Love na mwanamama haeleweki..... naombeni msaada wenu jamani.
 
Hivi is there such thing as 'kumuacha hawezi' ?
Kwa sababu 10years back hakua anamjua lakini maisha yalikuwa kawaida. Hizo ni teenage whims tu na zitaisha hata kama akikubaliwa anachokitaka. Love ni uamuzi usioendeshwa na feelings. If you are able to control your feelings then you can love.
Mungu hajamuumba binadamu ambaye anahitaji binadamu mwenzie ili akamilike so aache kujidanganya na kumkosoa Mungu.
Asome na ajaribu kujenga serious relationship haya mambo ya kugusana kuachana ndo yanawafanya mtusumbue kila siku kwamba you get hurt....
y wouldn't you wakati umeyataka mwenyewe?
 
haya jamani wale wanaobishaga kuhusu long distance relationship kuwa haziwezekani mfano huu hapa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom