Mwanaume achungwi bana mwanaume anabadilishwa kwa maombi tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume achungwi bana mwanaume anabadilishwa kwa maombi tu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 8, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Pengine umebeba mateso ya ndoa za kuvumiliana ..si wakati wake huu na najua tatizo laweza kuwa wewe binafsi wapo mabinti wazuri wanaooa wakijua wanakwenda kuwabana waume zao kwa njia mbali mbali...wapo walioanza kukimbizana na simu za waume zao wakijua wanawarekebisha sisemi uache kama ndio maisha mliochagua endeleeeni ati kuchokonoana kapiga nani umepokea kwa nani....
  Binafsi najua maana ya ndoa nimekuwa humu muda mrefu sio kufundisha na kutoa yale yanayoweza kufanya anga ya ndoa kuwa heaven na watu kutojuta kwa nini wameoana


  sitaki kukudanganya pengine mumeo amekuwa mwiba nyumban ..kama mwanamke simama zamu yako nawaambia siri msiojua akuna maombi yanayosikiwa haraka kama ya wanawake mwanamke ukimlilia mungu atokuacha tatizo mnataka kusali leo mjibiwe kesho mnafikiri zile namba za hashimu/tigopesa/mpesa itmanager ni rahsi kufutika nop......

  Kuna mambo mengi ukiwa kwenye maombi mwambie mungu akuonyeshe udhaifu wako usikimbilie kuomba wa mwenzio atakuonyesha yuko uchi na rafiki yako na ni kweli wanazini nae sijui utasemaje...omba ujue udhaifu wako mungu akuongoze ubadilike huku ukiomba mungu matatizo ya mwenzio

  nawatakia wote wenye kwenda madhabahuni mchana huu ndoa njema na zenye baraka aijalishi umemtamani ama mlipendana kwa leo is too lte huyo ni wako wa milele
  kila la kheri
  wasalaam
  pdidy
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mmnnh, kila kitu sasa kimekuwa maombi?
  Vingine tunamsingizia hata muumba.
  Frustrations zetu za maisha tunazikimbizia kwenye 'maombi' badala ya kutafuta masuluhisho.

  No wonder makanisa fake yanashamiri, watu tumependa bwerere mno.

  Mtu hachungwi, anajichunga
  mtu habadilishwi, anajibalidilisha

  na kwa nini uolewe na mtu mwenye tabia A halafu baadaye utake awe na tabia B??
   
Loading...