Hivi haya ni mambo ya kawaida au ni matatizo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi haya ni mambo ya kawaida au ni matatizo.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Morgan james, Sep 7, 2012.

 1. M

  Morgan james Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Yani huwezi amini nina bro wangu yani nanii yake ikiwa haijasimama inakuwa kama ya mtoto wa miaka 7but akienda mnara bonge la dude na anaona aibu hata kuvua nguo mbele ya masela zake na hata mbele ya demu wake naomben ushauri wakumsaidia huyu mtu.
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wewe mtata tena hueleweki. Kama wakati wa mambo ipo shwari tatizo lipo wapi? kitu kuwa kubwa wakati haina matumizi kwa wakati huo faida yake nini? Hivi nawe unakuwepo anaposhindwa kumvulia demu wake? Usilete UZI wa kijuha siku nyingine humu, tupo bussy kutoa ushauri kwa watu makini. Pu........fu.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,329
  Likes Received: 2,632
  Trophy Points: 280
  baada ya kusoma maelezo yako, mbona sioni kama kuna tatizo...unahitaji msaada gani?
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ulijuwaje hayo yote? Na pia ulijuwaje kuwa wakati wa mambo inakuwa shwari, huwa unamchungulia wakati wa tukio? By the way, alikwambia anaomba msaada wowote au ushauri?
   
 5. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah we huna undugu na natalia kweli?mbona kama sikuelewi thread zako!
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  watu wana matatizo lakini hawasemi ukweli, sasa msaada utapataje? mtoa mada una matatizo wala usimsingizie kakako bwana
   
Loading...