Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Guys, yaan hapa nimeshiba kitumbo kipo ndi ndi ndi, pilau la harusi ya single maza lilikua tamu hatariii, pilau la mbuzi likatiwa zabibu kavu na tui la nazi kwa mbali oyaaaaaaaa🙌🏻 rosti la mbuzi...
31 Reactions
191 Replies
2K Views
Huu ni uzi maalumu kwa wasukuma wote hapa tanzania,kupeana taarifa,maarifa, elimu na ujuzi mbalimbali kuhusu kabila hili kubwa nchini,uzi huu hauna lengo la kupromote ukabila bali kuleta jamii...
19 Reactions
502 Replies
5K Views
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha.. Leo asubuhi...
17 Reactions
57 Replies
1K Views
Hello ladies!! Niseme ukweli, mimi sio mtu wakutilia sana maanani sikukuu(s) zaidi ya birthdays. Kwahiyo sikumbuki kusherehekea Valentine na mtoto wa mtu, ila zawadi ambayo nimewahi kumpa mkaka...
34 Reactions
152 Replies
7K Views
Wapendwa wana JF ,,, habari ya uzima wenu habari za weekend,,, Mungu ni mwema sana namtukuza kwa wema wake. Nina mawazo mawili ambayo yananitatiza maana kuna jambo la kwanza "KUOA" au kununua...
8 Reactions
41 Replies
607 Views
Hivi hili ni la kweli kwamba ukishaoa ama kuolewa hupaswi kulala na nguo au ni utaratibu mtakao amua kuuweka Kati mtu na mwenza wake Maana kiukwel sijajiandaa kisaikolojia kulala bila nguo hata za...
6 Reactions
42 Replies
507 Views
Wakuu habari zenu? Nashindwa kufurahia mapenzi siku hizi , sijui niseme sina bahati. Nimetongoza mademu zaidi ya watatu, lakini wote wakati WA mechi hutoa harufu mbaya Kwa sasa nimeamua kuwa...
7 Reactions
63 Replies
716 Views
Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena. Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye...
4 Reactions
32 Replies
463 Views
Mnamo Julai 1, 2026, wanandoa wawili maarufu wa “rooftopping” Angela Nikolau na Ivan Beerkus walikamatwa baada ya kupanda kwa siri hadi juu kabisa ya Empire State Building mjini New York bila...
0 Reactions
6 Replies
176 Views
Hapa mjini kila mtu mhangaikaji, tatizo vijana na mabinti wa mjini wakiona mtu ana gari au nyumba nzuri wanafikiri pale ndio kuna maisha wanamkimbilia huyo, wakishakaa pale wanagundua naye...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Salamu wakuu Nina ishu serious inanisumbua akili mpaka sielewi nifanyeje kama kuna mtu imewah kumtokea naomba anisaidie mbinu alizotumia Mkasa mzima uko hivi, Nina demu wangu hivi nampenda...
7 Reactions
46 Replies
633 Views
Kujichua (Masturbation) vs Uzinifu Je, mtu afanye nini anapozidiwa na hisia za kimapenzi? Umewahi kusikia neno kujichua (masturbation)? Watu wazima wa jinsia zote hujikuta wakikumbwa na hisia...
17 Reactions
208 Replies
3K Views
Mkoani Mbeya leo linafanyika kongamano la wajane linalolenga kuwaunganisha na fursa za kiuchumi baada ya kuondokewa na waume zao, ili kuwaepusha na manyanyaso ya kifamilia. Je, hatua hii...
1 Reactions
14 Replies
191 Views
Hello ma rafiki na wananzengo wa haba, kwa members wa hapa mtakuwa mnaona kila siku nyuzi juu ya kuisalitiwa zinaporomoshwa kila siku na kuomba ushauri, na wengine huwa hawaomba ushauri wanaumia...
20 Reactions
218 Replies
30K Views
Wakuu hebu njoni hapa tuzungumze mawili matatu hivi kati ya hivi vitu vitatu kwenye mwili wa mwanamke kipi ninakuchanganya? mana binadamu tunatofautiana hebu share hapa ili angalau tuongeze siku...
1 Reactions
15 Replies
220 Views
The emotional stress that comes with suspicion in a relationship can feel overwhelming. You may find yourself replaying memories, questioning changes in behavior, and wondering whether the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni moja ya kitu ambavyo sijuvunii kabisa😁 Alikuwa mwembamba alafu kipindi kile nilikuwa wamoto sana huku nikiyaweka makebo makubwa kama priority namba moja Huku mwenzangu kanipenda kweli ila...
13 Reactions
28 Replies
690 Views
Anonymous
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa...
0 Reactions
5 Replies
142 Views
Nimefanya research ya kutosha Nilichukua sample spaces kutoka mataifa ya Tanzania Rwanda Burundi Kenya Uganda Kilichonisukuma kufanya research hiyo ni kwasababu ya story nyingi mtaani kwamba...
10 Reactions
175 Replies
21K Views
Ni mwenye shepu nzuri mwenye macho kama unaniita, light skin au mweupe na mwenye makebo makubwa Kama hauna lolote unajiitaje wife materia? Furaha ya mwanaume ni kumiliki vitu vya uhakika
0 Reactions
16 Replies
159 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…