venchwa
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 2,224
- 3,168
Hapa mjini kila mtu mhangaikaji, tatizo vijana na mabinti wa mjini wakiona mtu ana gari au nyumba nzuri wanafikiri pale ndio kuna maisha wanamkimbilia huyo, wakishakaa pale wanagundua naye anabangaiza tu kama wengine
Ushauri wa bure, wakati mwingine bora utulie tu ujipange mwenyewe, ukitafuta sana pa kupumzika utashuka vituo vingi!
Tafakari na Chukua hatua.
Nesi wa Mugabe kasema hivi
" kuna madada wanapenda hela sikuhizi wameanza kuwapenda watoto wadogo kisa wana mashilingi kichwani"