Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
146 Reactions
5K Replies
2M Views
Baadhi ya maudhi madogomadogo yanayokera wakati wa tendo 1. Mwenza kutoa harufu mbaya kama vile kutoa harufu mbaya mdomoni maungoni au sehemu za siri n.k 2. Mwenza kuwa na majeraha, madonda...
12 Reactions
100 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanapenda wanawake weupe. Wengi wanasema uweupe unavutia tofauti na wengine, je, nini siri ya uweupe mpaka wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?
6 Reactions
87 Replies
1K Views
Kuna aina fulani ya wadada wachache mno ambao ni kama uwepo wao una nguvu supernatural ya kuweza kubadirisha energy mahali atakapo fika. Ni aina ya wadada ambao wana amplify lust ya mwanaume...
5 Reactions
27 Replies
523 Views
Usiogope kukagua simu ya mke/mpenzi wako kuna baadhi ya details za muhimu sana utazipata na utajishukuru sana.
2 Reactions
13 Replies
219 Views
Umewai kusikia Nini kuhusu mahusiano na mwanamke asiye na uvungu mguuni (chini ya unyayo. CHANZO CHA KULETA HII MADA ni hiki, Kuna jamaa yangu jana nilimsindikiza hospital kumwona Kwa mama yake...
34 Reactions
146 Replies
10K Views
asilimia 99 ya wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa ajili ya pesa na sio mapenzi ya kweli. ukiondoa pesa kwenye mahusiano au ndoa asilimia kubwa ya wanawake hawatoona sababu ya kubaki kwenye...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
  • Closed
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko... Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko...
28 Reactions
282 Replies
5K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume...
40 Reactions
268 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na...
3 Reactions
9 Replies
172 Views
Natafuta mke Umri wangu 41 Mke miaka 37 hadi 40 Ninaishi Njombe Ninawatoto wawili
7 Reactions
81 Replies
674 Views
Hampeani support kwa waume wenzio.nyie mpo tu barazani mnapiga umbeya.alaf mnataka mabadiliko yatoke wapi.
2 Reactions
5 Replies
113 Views
Hamuwaz yeyote ni wewe na maisha yako.mimi sipend kuumiza kichwa nikiwaza mapenzi.nawaza jinsi nitakavyo mwagilia moyo.usela tuh nakataa ndoa kabisa.
7 Reactions
46 Replies
526 Views
  • Redirect
1.Walimu wa shule za msingi 2.Maafisa kilimo 3.Manesi 4.MaHR na masekretary 5.Wanajeshi 6.Maboss wajane 7.Wafanyakazi wa benki Hawa watu haupati shida kutongoza ni swaga kidogo tu wanajaa...
5 Reactions
– Replies
– Views
Mfumo ndiyo wakutumia sio kujipa gharama za ndoa alafu mwishowe mwachane.
10 Reactions
46 Replies
726 Views
Ni binti mpole sana na anayejiamini sana ndoh maana anakubalika sana na wengi.hakuna posti inapita hajatagiwa kwa kwel ni mtu wa watu!
6 Reactions
44 Replies
528 Views
Kumbe ni ubatili ni kama kujilisha upepo ukizani unashiba Nilikuwa na hakikisha mama mkwe, wadogo zake, yeye mwenyewe hawakosi mahitaji muhimu, nilikuwa najitoa haswa, na kazi nilikuwa napiga...
11 Reactions
28 Replies
464 Views
Wanaume mlioamua kuoa, timizeni wajibu wenu. Msiwaache wake zenu wakizunguka huku na kule wakijileta kwa wanaume ambao hawana hata mpango wa kuoa. Sisi hatuna mazoea nao, lakini wao ndiyo...
18 Reactions
79 Replies
991 Views
Kumekuwa na mafundisho mengi sana siku hizi kuhusu namna nzuri ya kukabiliana na umaskini , Moja ya jambo linalosemwa ni watumishi kuoana na kufanya ndoa, na tunashauriwa sana kuwe na...
2 Reactions
20 Replies
246 Views
Back
Top Bottom