Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea...
Wengi wanapunguza uchu wa ngono kwa kujichua mara kwa mara au tendo la ndoa. wengine wanapendekeza kuoa mtu mwenza mwenye uchu kama wako.
Baadhi wanashauri kufanya mazoezi au kununua vifaa ngono...
Je lengo la ndoa ni nn
1 kuzaa
2 kujamiiana
3 kusaidiana
majukumu ok kuna watu wanasemaga mada za kitoto ok kama mada ni ya kitoto nenda kasome mada za kizee kiutu uzima naitaji majibu na maelezo...
Habari wana jamvi
Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu.
Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana?
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka
Hichi kitu nikikifikiria bado majibu hayaji kichwani.
Mwanamke unakuaje katika mahusiano ya dhati na mtu wako huenda mnapendana sana tu lkn huku nje mkiombwa namba mnatoa tu safi,na baadhi yenu...
Binafisi huwa najiuliza mwanaume unawezaje kutoboa miaka hadi 50 kwenye ndoa huna mtoto nje ya ndoa na hata mchepuko huna yaani niwewe na ulokole wewe na usabato bahati mbaya kabisa unakuta mke...
When it comes to relationship you don't get the woman you deserve. You get the woman you earn.
Twende sasa.
Wanaume wema, waelewa, wenye mioyo mizuri, nia njema na wanaoona uzuri tu kwa...
Kuna hii kitu inaitwa open relationship, yaani unakua na mtu wako ( tuseme mke au girlfriend) lakini anaruhusiwa kudinywa na mtu mwingine, vivyo hivyo wewe mwanaume unaweza kudinya demu mwingine...
Mimi na demu wangu wote tunalinda brand hakuna anayemtafuta mwenzie tunaishi kuangalia status😂😂🙌
dah kweli hapa za kichwa tu vp wewe ndugu yangu hali yako uko…
Sasa nataka nilete tofauti ya wadada wa mjini na vijijini naanza na wa vijijini
1. wanapenda kupora vitu vya wanaume
2. wanapenda kwenda na wanaume zao sokoni wakichaguliwa vitu makasha n.k hua...
Wasalaam wakuu
Kuna hili jambo nimelisikia kwa muda sasa kuwa ili mwanamke amtii mwanaume kwenye mahusiano; iwe ni urafiki wa mwanzo,uchumba ama ndoa inabidi mwanaume amzidi mwanamke hivi vitu;-...
Salaam wanabodi.
Tukielekea kuupokea Mwezi wa mapenzi, mwezi ambao mahusiano mengi huvunjika, mengine huanza, mengine hutetereka kutokana na Visa vya hapa na pale.
Sasa nimekutana na concept...
Kwanza naomba radhi kwa hili nitaloeleza hapa maana naenda kinyume na codes za kiume "What happens in Vegas stay in Vegas" Sio vizuri sana kuzungumza mambo yako yahusishayo wanawake mitandaoni...
Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.