Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WanaJF nawasalimia wote! "Siku hazifanani" ni msemo wa kiswahili uliozoeleka sana na ni waukweli. Kwa sababu hiyo, wiki, miezi, miaka, milongo na karne nazo haifanani pia kwa sababu zinaundwa na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
habari zenu wana MMU?my boyfriend who was going to be my husband jus broke up with me,sababu nimemwambia a postpone dowry/brideprice because hatupo in good terms yani,kila mara ananiambia its...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hebu nisaidieni nampenda sna mume wangu na tangu tumetengana kwa muda wa mwaka na nusu sasa sijathubutu kuwa na uhusiano wowote na mwanaume mwingine tatizo mume wangu ni bondia namaanisha...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna wakati wanakuwa hawaelewani na kuna wakati wanaelewana ,sasa mimi naumia sana hiki kipindi wasichoelewana,nifanye nini?kama kuna mke asiyeelewana na mama mkwe wake umefanya nini kuiondoa hali...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Kuna topic nilileta hapa kwamba kuna dada, boyfriend wake alichukua kadi yake ya gari na kwenda kuchukulia mkopo wa riba huko mitaani. na alipogundua wanataka kuchukua gari aligombana sana na...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Yani kuna wadada wazuri jamani, yani wameumbika utadhani wamechorwa, yaani ukiwaona unafikiria mara mia mia yaani ukimpata sijui utamfanyafanyaje!!, nitamnyonganyonga, nitambinyabinya...., yaani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wa kuspend naye Tarehe 25/11/2012 mahali Bagamoyo kaole na fukwe za beach, mwingine tarehe 30/12/2012 mahali beach yeyote ya kigamboni tutakayo amua. 18/12/212 Mikumi national Pack na Tarehe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumain wote wazima... jaman ndugu zako naombeni ushauri wa bure hapa mtaani kwetu kuna mwanamke anasumbua sana, huyu mama ni mke wa babu wa mtaani kwetu hapa umri miaka kama 55 hivi.. Ana nyege...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
.....nani zaidi?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu mnakumbuka week iliyopita nilileta mada hapa jamvini inahusu kupendana na mwanamke msomi,wote mliochangia nilisoma na kuelewa comment zena na nashukuru sana kwa sababu kuna mambo mengi...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Naamini kuwa huu ukumbi kuna watalamu wa kila aina na katika nyanja mbalimbali. Mimi nina wife wangu na tuna katoto kamoja mpaka sasa kenye mwaka mmoja. Sisi lile suala la kucha kurushana roho ati...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hii barua nimeidaka mahali, imenigusa, nikaona nishiriki nanyi. Hello Stephanie,First I want to say how much I love your blog. You are doing something really different here. Well done! I’ll like...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mweyewe" huu ujumbe nimekutana nao mara nyingi ila kwa siku hizi unanichanganya. Ni upumbavu upi hasa unaotajwa hapa?na je kuna wanaume...
0 Reactions
6 Replies
12K Views
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wadau nisaidie nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kitaa yapata miezi 5 sasa.tulipendana sana tena sana na alikuwa ananza kuchukua nafasi katika moyo wangu. ila kwa bahati mbaya mm sina kazi kwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilaumu kipi kati ya MACHO yangu yaliyokuona au MOYO wangu uliokupenda.
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF. Naamini njia pekee ya kumpata mke/mme mwema ni kumshirikisha Mungu. Lakini imani lazima iendane na vitendo . i.e. lazima mtafutaji achukue jitihada za lazima kumtafuta huyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha Ni nini mtazamo wako?
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Naweza kusema toka January hadi Dec.tutakapomaliza huu mwaka naweza kusema nimeshuhudia harusi za gharama nyingi zaidi tofauti na miaka iliyopita sijui kwa mwakani..hii inamaanisha nini?kwamba...
4 Reactions
34 Replies
4K Views
Hebu wekeni uzoefu wenu kama jambo hilo ni sahihi………………. Wafuatao natarajia uzoefu wenu kikamilifu... andybird314, BADILI TABIA, Bazazi, BelindaJacob, bucho...
9 Reactions
51 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…