Snipper
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,336
- 2,157
Naamini kuwa huu ukumbi kuna watalamu wa kila aina na katika nyanja mbalimbali.
Mimi nina wife wangu na tuna katoto kamoja mpaka sasa kenye mwaka mmoja. Sisi lile suala la kucha kurushana roho ati kwa hofu ya kumbemenda mtoto hatukuwa nayo kabisa na mambo yalikuwa yakifanyka kama kawa. na kabla hatujapata mtoto tulikuwa unapeana dozi ya 2 hadi 3 kwa kutwa lakini kwa sasa tunagonga moja kwa kutwa...yani bila kamoja usingizi hauji kabisa...hivi hii ina madhara kiafya maana nadhani nakaribia kuwa teja na kama ni kupumzika ni zile siku ambazo shemeji/wifi yenu ankuwa ameenda angani tu vinginevyo ni dozi kwa kwenda mbele...sasa hii kitu inaweza kuniletea madhara huko mbele?
naomba msaada wenu wa kitaalamu wadau!