kutongoza ni IT- Individual Talent
huwezi elezewa wala fundishwa, ni kama samaki kufunzwa kuogelea.
unamtekaje? unampeleka mabwepande ama?
kumtongoza msichana ckuhizi ni kutaka kuchelewesha cku za kula mzigo no need kabisa, body language talk more, little words and actions in the room complete everythings
inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha
ni nini mtazamo wako?
kwani mapenzi ni vita jameni? just b u mie sioni logic ya mwanaume kujipanga na silaha eti anakwenda kumtongoza fulani...*
Inasemekana kwambaa unapokuwa unamtaka mwanamke alafu ukawa huna mbinu za kumvutia ni sawasawa na kwenda vitanibila silaha
Ni nini mtazamo wako?
kwani mapenzi ni vita jameni? just b u mie sioni logic ya mwanaume kujipanga na silaha eti anakwenda kumtongoza fulani...*