Is it a long term course or short term course?

khetewesa

Senior Member
Joined
Jul 30, 2012
Messages
112
Points
195

khetewesa

Senior Member
Joined Jul 30, 2012
112 195
wadau nisaidie nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kitaa yapata miezi 5 sasa.tulipendana sana tena sana na alikuwa ananza kuchukua nafasi katika moyo wangu. ila kwa bahati mbaya mm sina kazi kwa sasa, nayeye analitambua hilo na amekuwa sehemu yakunitia moyo kuwa utapata ila pamoja nakutambua hilo amekuwa akieleza matatizo furani ambayo kwangu mimi yanakuwa juu ya uwezo kwani sina kitu mfukoni. Tumekuwa tukisaidiana pale mikono inapofikia kujikuna. Tumekuwa tukipishana wakati mwingine ila mimi nilichukulia kama sehemu ya mahusiano kwani haiwezi kuwa furaha muda wote.kuna wakati anakuwa mkali kupita maelezo na kukasilika ovyo ovyo huka akinuna na nilifikia wakati kumwambia kuwa anahasira zakipuuzi.kawa mzito kuomba msamaha hata akikosea ila imenipasa niombe msamaha hata kama yeye kakosea......ila wiki lilopita nikasema enough is enough,uvumilivu umeniishia...aliniona nadada mmoja jirani tuemeongozana naye kwenda dukani,basi kasema ninauhusiano naye,kanuna nakuniuliza maswali yasiyo natija....katika kujibizana kwenye simu hatimaye kasema endelea naye huyo mdada na mimi yeye nimuache.....namimi nikamua kumshukuru kwa kauli yake nakumtakia maisha mema kwani hata siku zanyuma tulipishana kidogo akasema tuachane mm nilimhoji mbona sababu sioni.kwa sasa nikabaini kuwa huyu kunamtu anamsumbua wacha aende namm niruidi hali yangu yaawali kwani atapatikana wakufanana nami ila naona kama anajilaumu maamuzi yake namm nimekaza uzi hata siwezi rudi kwake.
 
mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
8,477
Points
2,000

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
8,477 2,000
hahah kijana umepata reality ya mapenzi ya kisasa....kidume lazima uwe na pesa ndio utapata utamu bila drama za kijinga. huna hela unabwagwa tuu kijana.

kijana kama upo jobless kona wala usijihangaishe kutafuta goma...itakula kwako tuu.

WHEN POVERTY ENTERS THROUGH THE DOOR LOVE ESCAPES THROUGH THE WINDOW!!!
 
mjombo's

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Messages
494
Points
195

mjombo's

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2011
494 195
sijaona unachotaka sasa kutoka jamvini kutokana na story yako coz kila kitu umeshamaliza mwenyewe na umesema hutaki kurudi nyuma tena
wadau nisaidie nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kitaa yapata miezi 5 sasa.tulipendana sana tena sana na alikuwa ananza kuchukua nafasi katika moyo wangu. ila kwa bahati mbaya mm sina kazi kwa sasa, nayeye analitambua hilo na amekuwa sehemu yakunitia moyo kuwa utapata ila pamoja nakutambua hilo amekuwa akieleza matatizo furani ambayo kwangu mimi yanakuwa juu ya uwezo kwani sina kitu mfukoni. Tumekuwa tukisaidiana pale mikono inapofikia kujikuna. Tumekuwa tukipishana wakati mwingine ila mimi nilichukulia kama sehemu ya mahusiano kwani haiwezi kuwa furaha muda wote.kuna wakati anakuwa mkali kupita maelezo na kukasilika ovyo ovyo huka akinuna na nilifikia wakati kumwambia kuwa anahasira zakipuuzi.kawa mzito kuomba msamaha hata akikosea ila imenipasa niombe msamaha hata kama yeye kakosea......ila wiki lilopita nikasema enough is enough,uvumilivu umeniishia...aliniona nadada mmoja jirani tuemeongozana naye kwenda dukani,basi kasema ninauhusiano naye,kanuna nakuniuliza maswali yasiyo natija....katika kujibizana kwenye simu hatimaye kasema endelea naye huyo mdada na mimi yeye nimuache.....namimi nikamua kumshukuru kwa kauli yake nakumtakia maisha mema kwani hata siku zanyuma tulipishana kidogo akasema tuachane mm nilimhoji mbona sababu sioni.kwa sasa nikabaini kuwa huyu kunamtu anamsumbua wacha aende namm niruidi hali yangu yaawali kwani atapatikana wakufanana nami ila naona kama anajilaumu maamuzi yake namm nimekaza uzi hata siwezi rudi kwake.
 
Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
kweli pesa sabuni ya roho, yaani hawa wanawake kama huna hela kila mda wanakasirika hovyo hovyo ili kukutafutia sababu ya kukuacha

sasa kijana wewe endelea kutafuta kazi tu

ukishapata utatuletea uzi mwingine hapa kuwa aliyekuacha anaomba mrudiane
 
HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,613
Points
1,225

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,613 1,225
wadau nisaidie nilikuwa na uhusiano na dada mmoja kitaa yapata miezi 5 sasa.tulipendana sana tena sana na alikuwa ananza kuchukua nafasi katika moyo wangu. ila kwa bahati mbaya mm sina kazi kwa sasa, nayeye analitambua hilo na amekuwa sehemu yakunitia moyo kuwa utapata ila pamoja nakutambua hilo amekuwa akieleza matatizo furani ambayo kwangu mimi yanakuwa juu ya uwezo kwani sina kitu mfukoni. Tumekuwa tukisaidiana pale mikono inapofikia kujikuna. Tumekuwa tukipishana wakati mwingine ila mimi nilichukulia kama sehemu ya mahusiano kwani haiwezi kuwa furaha muda wote.kuna wakati anakuwa mkali kupita maelezo na kukasilika ovyo ovyo huka akinuna na nilifikia wakati kumwambia kuwa anahasira zakipuuzi.kawa mzito kuomba msamaha hata akikosea ila imenipasa niombe msamaha hata kama yeye kakosea......ila wiki lilopita nikasema enough is enough,uvumilivu umeniishia...aliniona nadada mmoja jirani tuemeongozana naye kwenda dukani,basi kasema ninauhusiano naye,kanuna nakuniuliza maswali yasiyo natija....katika kujibizana kwenye simu hatimaye kasema endelea naye huyo mdada na mimi yeye nimuache.....namimi nikamua kumshukuru kwa kauli yake nakumtakia maisha mema kwani hata siku zanyuma tulipishana kidogo akasema tuachane mm nilimhoji mbona sababu sioni.kwa sasa nikabaini kuwa huyu kunamtu anamsumbua wacha aende namm niruidi hali yangu yaawali kwani atapatikana wakufanana nami ila naona kama anajilaumu maamuzi yake namm nimekaza uzi hata siwezi rudi kwake.
Nafikiri wewe hakuwa na kosa na wala yeye hakuwa na kosa, ni ka wivu ambacho ni kitu cha kawaida ktk mahusiano. Suala la ukali wake LBDA linaweza kuchangiwa na yeye kuwa na matatizo na kujikuta anayemtegemea na kumpenda naye hana uwezo wa kumsaidia.

Cha msingi msamehe kama bado mnapenda na kisha TAFUTA KAZI au jiunge kwenye vikundi vya ujasiriamali na kufanya kazi itakayokuingizia kipato japo kidogo cha kumpiga na suprise za perfume siku moja na kumtoa out kila unapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Kukosa kazi au kutafuta kazi siyo tiketi ya kuacha kujishughulisha kabisa, mtapoteza wapenzi!
 
Forum statistics

Threads 1,392,378
Members 528,604
Posts 34,107,248
Top