NATAFUTA MCHUMBA WA KIKE aliye tayari.


T

TRUSTWORTHINESS

Member
Joined
Oct 3, 2012
Messages
7
Points
0
T

TRUSTWORTHINESS

Member
Joined Oct 3, 2012
7 0
Ndugu wana JF.
Naamini njia pekee ya kumpata mke/mme mwema ni kumshirikisha Mungu. Lakini imani lazima iendane na vitendo . i.e. lazima mtafutaji achukue jitihada za lazima kumtafuta huyo ampendaye na kama huyo mchumba ni mke/mme mwema basi lazima Mungu atafanikisha ndoa hiyo. Naamini pia kuwa kwa mujibu wa maendeleo haya ya sayansi na technolojia kumtafuta mchumba kupitia mtandao ni njia sawa na njia nyingine. Hivyo dhana kwamba wachumba wanaotafutwa mtndaoni si wachumba kwa hakika nina ujasiri wa kutosha kusema dhana hiyo si sahihi. Jambo la msingi ni kwamba atafutae awe amenuia na mjibu maombi awe anamaanisha.

Hivyo basi nami naona nimpate mchumba wangu kwa njia hii.

MIMI NI MWANAUME- MIAKA 26,SI MREFU SI MFUPI (KATIKATI),MWEUSI, MKIRISTO, ELIMU CHUO KIKUU, MFANYAKAZI SERIKALINI.


NAMTAFUTA-MSICHANA WA MIAKA 19-24 ,MREFU/KATIKATI,RANGI YOYOTE, MKIRISTO, ELIMU-SI CHINI YA FORM FOUR-MFANYAKAZI (ITAPENDEZA SANA AKIWA MWALIMU).


tafadhali MSICHANA ALIYE SERIOUS NA MAOMBI HAYA ANI-PM
 

Forum statistics

Threads 1,284,758
Members 494,236
Posts 30,838,875
Top