Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajf kesho cku ya kuzaliwa kwangu jana kifo cha rafiki yangu wat does it indicate? am ril confused!
0 Reactions
1 Replies
974 Views
wazee imenitokea nilikuwa na demu wangu wa kimbulu nimekaa naye more than five years hapa ar chuga kaka,katika nikajitosa mkuu kumpleka shule dar chuo akaanza cert mkuu wangu after that akamaliza...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Imekuwa kawaida sana kuchezea makalio ya mwanamke na mwanamke huwa anahisi raha sana anapo shikwa na mwanaume. Ni sahihi kwa mwanamke kumchezea mwanamme makalio?? Na mwanamme unajisikiaje kwa...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
kuuliza si ushamba jamani........ Nani kati ya mzazi na muoaji ana power ya maamuzi juu ya binti ambae amelipiwa mahali na bado yuko kwa wazazi akisubiri ndoa ya kanisani/msikitini? Mfano: Binti...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Shule jamani shule, Tuko ndani ya mwezi December xmass hiyo around the corner, kwa wale Wazazi wenzangu tuliogoma kusomesha watoto zetu kwenye shule za Umma tunajukumu mbele yetu...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa kipi kinacho uma zaidi kufiwa na mke/mume au kumfumainia mke/mume akizini ?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakubwa zangu shikamooni! Peopleeeeeeeeeeeeesss! Once again its Furahiday tunakutana tena jamvini kwenye Talk show letu la Ukweeeeeeee! MMU EXCLUSIVE INTERVIEW! Ndani ya nyumba tunae Prisoner...
7 Reactions
185 Replies
12K Views
Wakuu jana jioni saa kumi na mbili nilikuwa napita mtaa fulani na kuona kuku wakikimbizana halafu wakaishia kupandana kama kawaida ya mapenzi yao, kilicho nishangazwa mno kuona kuwa kumbe kuku...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
katika taarifa ambazo zilizogonga vichwa katika tv ya bbc ambayo huwa inarusha matangazo kupitia star tv matangazo ambayo huwa yanaanza saaa tatu kamili kuna taaarifa ilitangazwa kuwa mwisho wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hivi ni ni mimi tu ndio nafanyiwa na kupata usumbufu ambao sio wa lazima kwa mtandao ya simu wakati umekaaa na unaendelea na kazi utasikia simu unapigiwa ukipokea uanaambiwa karibu huduma...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku ya Jumanne ya Disemba 7, 2010, majira ya saa nne asubuhi niko ofisini, nikiendelea na kazi zangu kama kawaida. Nilikuwa na jukumu la kukamilisha ripoti yangu ya juma lililopita...
14 Reactions
59 Replies
5K Views
Sio utani.....kama upo serious karibu
0 Reactions
56 Replies
4K Views
Ambae haja lala ani-PM tuchat ila awe jinsia ya ME. Karibu sana
0 Reactions
1 Replies
967 Views
hi
wadau,magwiji na wanazuoni wa pande mbalimbali,mdau nmeamua kuingia ndani bcoz kwa muda mrefu nmekua sio memember ni msomaji tu. god be with u all!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri. Badala yake ukikutana na hawa wazungu huku...
0 Reactions
83 Replies
25K Views
Habari JF, mimi ninaitwa Colins ni mvulana umri wa miaka 27,nimehitimu degree ya kwanza pale Chuo cha Usimamizi wa Fedha mwaka jana na kwa sasa niko na kampuni yetu ndogo ya kuwasaidia wakina mama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu this is a serious suggestion. Hizi hadithi za Mtambuzi ni hadithi nzuri sana. Mimi napendekeza zitengenezewe kipindi cha TV. Hicho kipindi kiwe kama soap opera lakini ziwe ni zile...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za mchana, Ni furaha iliyoje tumepewa nafasi ya kufurahia kufika kikomo cha mwaka 2012 Kuna jambo ambalo linanitatiza kuhusu ndoa na historia zake yaani tangu wawili hawa...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Juzi nikiwa kwenye mgahawa mmoja hivi.... pembeni yangu kulikuwa na wadada wawili wakijuviana mambo ya ofcn kwao. Mazungumzo yao ilikuwa kama ifuatavyo:- AA. ''ujue( jina) hajaolewa mpaka...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu, Kwa mara nyingine najitokeza mbele yenu kuwafahamisha kuwa natafuta msichana mtulivu(anaehitaji kutulia kimapenzi) mwenye wasifu ufuatao; awe na umri wa kuanzia miaka 22-26, awe na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…