Wazungu na Dada zetu wa kibongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazungu na Dada zetu wa kibongo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mshikachuma, Mar 14, 2011.

 1. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni marachache sana kukuta mwanaume wa kizungu akiwa na demu wa kibongo(mbantu) aliyetulia,mwenye kujiheshimu,mwenye elimu au hata mwenye kazi mzuri. Badala yake ukikutana na hawa wazungu huku mitaani utakuta yupo na demu ambaye unashindwa kumjudge!! yaani teja si teja....changudoa si changudoa....bangi si bangi....yaani nguo utazoona amevaa huyo mwanamke utasema ameokota jalalani! .....yaani mchafu kwenda mbele. Pita maeneo ya posta, masaki,osterbay,kariakoo nk. utajionea mwenyewe. Swali langu ni - Hawa mashemeji zetu wazungu kwanini wanapenda mademu wa sampo hii? kwanini wasiwe na mademu wenye sifa nilizozitaja hapo juu? Au kuna siri iliyojificha?

  Nakaribisha mgongano wa kimawazo na kimtazamo:- Ahsanteni
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  wengi ni wale ambao hawana kazi za kueleweka wanawafuata hawa wazungu kwa ajili ya pesa, demu anachofanya ni kujua tu kingereza au kiswanglish, kumpa mzungu utamu na kupokea pesa
  wengi wao wazungu ni wakubwa sana kwa age, anataka mtoto wa kuliwaza ataenda wap zaidi ya machangu
   
 3. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mmh....umenivunja mbavu!
   
 4. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ze opposite is true, hapa zenj utakuta wasichana wazuri wakizungu wakiwa na sampuli za wavulana kama hao wasichana unaosema. Na pia utashangaa kuona vibibi vya kizungu navyo vinaenda vimekumbatiwa na ha vijana wadogo. Kwa ufupi kama wewe ni mwanaume unataka msichana wa kizungu nenda zako kapate bangi, timua nywele, suruali fungia matakoni hapo ni mara moja kama si msichana wa kizungu basi utapata kabibi. Au vaa kimasahi na kuaza kusema mimi nimeishaua simba hapo mzungu hana la kusema!
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,903
  Trophy Points: 280
  nenda U turn.com uone mambo .. Wadada wamewan'gan'gania wazungu hadi shida .. Tatizo kupenda vitu vya bure .. Hawa wadada hawajui kuwa wangesoma wangekuwa na hela kuliko hata za hawa wababu wa kizungu
   
 6. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  wazungu wanazimia urafu-rafu na si umaridadi. Waangalie hata wao wanavovaa. Ovyo-ovyo tu. Watavaa vizuri siku ya harusi au kwenye matamasha yenye hadhi fulani.
   
 7. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,050
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Umesema kweli Meddie,
  Kuna mate wangu chuo aliwahi kusema wazungu wanapenda vitu vya tofauti na vigumu.
  Wanaume na wanawake wanaokua na mahusiano ya kimapenzi na wazungu ni Sample moja.
   
 8. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  :lol::lol::lol::lol:
   
 9. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  HIZO HAPO JUU NI PREJUDICES zilizokokwenye jamii zetu kuhusu mahusiano ya Wazungu na Waafrika kwenye mzingira ya kwetu. Hii huchangia sana kuleta hali hii tunayoiona.

  Nimewahi kuzungumza na wazungu kuhusu hili swala na hata wao wanajikuta njia panda pale watakapo uhusiano na waswahili. - Kuna wanaume wa kizungu wanaotaka mahusiano na wanawake wa kiafrika LAKINI inawawia vigumu sana kupata mwanamke "aliyetulia" kwa sababu wanawake "waliotulia" nao wanaogopa kuhesabiwa kuwa ni machangudoa kama wakionekana na wazungu.Wapo pia wazungu - wanawake na wanaume wanaotafuta starehe na waafrika ( utalii wa ngono).Hawa ndio hao waliosemwa na na Babuyao na Da Pretty kuwa wanapenda vitu rafu rafu, vigumu au tofauti.
  Wazungu wanapotafuta wanawake wa kiafrika basi hujikuta wameangukia mikononi mwa watafutaji na siyo watu wenye mapenzi ya kweli. Hii inachangiwa na mazingira wanamowapata hawa wanawake au wanaume wa kiafrika.
   
 10. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
 11. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Eti kuna watu wanasema wazungu wanapenda wanawake wa sampo hizo kwa vile ni rahisi kuwa DO kinyume na maumbile. Je hii inaweza
  kuwa na ukweli wowote?
   
 12. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duuuh.....mkuu..... huyu demu Killi namjua saaana....ila sikufahamu kuwa na yeye ana babu yake wa kizungu ambae hana meno.
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hili swali lina ukweli kabisa mie hata huwa najiuliza hivi kwanini wazungu wanakuwa na wanawake hadi unaona aibu wanavyovaa aise.

  Mzungu mie namuogopa sana kwa yale mambo ya tigolization labda na wadada wa heshima wengi hufanya hivyo maana duh unakuta mwanamke kavaa kama anajiuza
   
 14. s

  shosti JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhhh wenzenu yanawaendea nyinyi mnabaki na :blah::blah::blah:
   
 15. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hii habari ya wazungu wazee wa kike kufall in love na vijana wa bongo au wa kiunguja nishaisikiaga kitambo kidogo. Hivi ni kweli haya
  mambo yapo na yanafanyika huko znz?
   
 16. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  labda muonekano wa mambo mengine,ila kwa mavazi naona tunatofautiana kimtazamo na wazungu,sie huku kuvaa sketi ndefu na nguo zinazostahi mwili ni heshima wakati kwa mzungu ni kituko,akija na joto la Dar haexpect uvae nguo hizo,badala yake nguo zile fupi,vikaptula nk ili usife na joto,.....
   
 17. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dada hongera kama umelijua hilo........nilifikiri ujui. Lakini ni kweli wanapenda hako kamtindo au ndiyo maneno ya watu?
   
 18. s

  shosti JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  umeongea vyema mami,mavazi ni mavazi tu hayamnasibishi mtu na chochote kile,sijui tutakuwa lini kila mmoja anauashi wake kwenye mavazi kama unavaa ndefu mwenzio fupi,pana mwenzio yakubana....
   
 19. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nasikia Ulaya, ukimwona mwanamume wa kizungu na msichana mwafrika, basi huyu dada huwa wa heshima kweli. Kinyume chake, msichana wa kizungu utamkuta na wanaume wa kiafrika aina hiyo ya suruali inaningínia kwenye makalio, herini mpaka nyusi, tattoo kama mepu ya dunia n.k.
  Ninachofikiri hapa ni kama walivyosema wengine hapo juu, msichana wa kiafrika na heshima zake hufikiria mara 10 kabla hajaanzisha uhisiano na mzungu. Vivyo hivyo kwa mvulana. Lakini wengi wa wavulana/wasichana (MSISITIZO - SIO WOTE) tunaowaona kwetu wanawazimia wazungu ni wale wanaotafuta maslahi.
   
 20. s

  shosti JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mapenzi hayachagui mweusi wala mweupe acheni ubaguzi wenu hapa.........
   
Loading...