Fundi mahiri wa Ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 5,047
- 4,449
Juzi nikiwa kwenye mgahawa mmoja hivi....
pembeni yangu kulikuwa na wadada wawili wakijuviana mambo ya ofcn kwao. Mazungumzo yao ilikuwa kama ifuatavyo:-
AA. ''ujue( jina) hajaolewa mpaka sasa eti hajaona mtanzania anaeweza kumuoa''
BB. '' Hata mm nilisikia eti anasema hajauzoea tamaduni za hapa nchini ........si kasoma degree yake marekani yule''
AA. '' Eti anataka mtu kutoka nje ya nchi''
Naomba niulize wanajamii?
mnamtazamo gani juu ya huyo dada?