mwisho wa dunia na maaandalizi yake

mwisho wa dunia na maaandalizi yake

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,941
Reaction score
2,183
katika taarifa ambazo zilizogonga vichwa katika tv ya bbc ambayo huwa inarusha matangazo kupitia star tv matangazo ambayo huwa yanaanza saaa tatu kamili kuna taaarifa ilitangazwa kuwa mwisho wa dunia ni 21-12-2012 nilijiuliza hiv kuna mtu anajua kwamba kuna mwisho wa dunia ajue hadi cku bac kama ni mwisho jaman jiandaen mm naisubili je ww umejiandaaje
 
Kesheni mkiomc maana hamjui siku wala saa atakapokuja mwana wa Adam
 
mwisho wa dunia????hahahah
Mkuu ni mwisho wa kalenda ya Mayans(hawa ni jamii ya watu kale walioishi huko bara la Amerika)...
As far as I know wao sio walioiumba hii dunia, hivyo mwisho wa kalenda yao doesn't justify kuwa ndio mwisho wa dunia...
Wao walikuja na wakaondondoka na dunia waliiacha...
Hivyo achana na hizo habari za Wapagani maana si mara ya kwanza wao kusema hivyo...
 
katika taarifa ambazo zilizogonga vichwa katika tv ya bbc ambayo huwa inarusha matangazo kupitia star tv matangazo ambayo huwa yanaanza saaa tatu kamili kuna taaarifa ilitangazwa kuwa mwisho wa dunia ni 21-12-2012 nilijiuliza hiv kuna mtu anajua kwamba kuna mwisho wa dunia ajue hadi cku bac kama ni mwisho jaman jiandaen mm naisubili je ww umejiandaaje

nani kakuambia tunahitaji kujiandaa kama wewe .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom