Huduma na offer zisizo za lazima kwa wateja

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,190
2,000
Jamani hivi ni ni mimi tu ndio nafanyiwa na kupata usumbufu ambao sio wa lazima kwa mtandao ya simu wakati umekaaa na unaendelea na kazi utasikia simu unapigiwa ukipokea uanaambiwa karibu huduma ya mziki naacha kazi za office na kusikiliza kitu ambacho hakina umuhimu hiv mitandao inajua kuwa baaadhi ya huduma wanazotoa kwa wateja ni kero na nyie ndugu zangu mnapigiwa
 
Risa

Senior Member
Feb 10, 2012
177
0
Hakuna kitu kinanikera kama hivyo visimu vyao na vimesege vyao, utashangaa usiku wa manane limesage linaingia unakurupuka ukijua ni kitu cha maana unakutana eti sijui (ofa) mimi huwa siwasikilizagi, nkipokea nkakuta ni wao nakatilia mbali.
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
56,772
2,000
Kimsingi huwa wanazingua sana...ila nadhani unaweza omba wakatoa namba yako kutoka hizo Supplimentary services....
 
nyabaheta

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
247
0
Jamani hivi ni ni mimi tu ndio nafanyiwa na kupata usumbufu ambao sio wa lazima kwa mtandao ya simu wakati umekaaa na unaendelea na kazi utasikia simu unapigiwa ukipokea uanaambiwa karibu huduma ya mziki naacha kazi za office na kusikiliza kitu ambacho hakina umuhimu hiv mitandao inajua kuwa baaadhi ya huduma wanazotoa kwa wateja ni kero na nyie ndugu zangu mnapigiwa

Mi huwa sina muda wa kusikiliza utumbo,huwa nakata simu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom