Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,467
Wakuu this is a serious suggestion.
Hizi hadithi za Mtambuzi ni hadithi nzuri sana. Mimi napendekeza zitengenezewe kipindi cha TV. Hicho kipindi kiwe kama soap opera lakini ziwe ni zile zinazokuwa narated (mtu anasimulia huku watu wanaigiza matendo). Kama umeangalia sinema ya Good Fellas au Casino utakumbuka kwenye hizo sinema jamaa (Robert Deniro) huwa anaeleza alafu mnaangalia anachoelezea kidogo then anaelezea (narator).
Hizi hadithi za jamaa ni visa (drama) ambavyo watu watavipenda sana kama vikiigizwa kwenye TV.