Wanandoa na Historia

Wanandoa na Historia

Tamatheo

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
3,298
Reaction score
1,562
Wanajamvi habari za mchana,

Ni furaha iliyoje tumepewa nafasi ya kufurahia kufika kikomo cha mwaka 2012

Kuna jambo ambalo linanitatiza kuhusu ndoa na historia zake yaani tangu wawili hawa wakutane na kupendana mwisho kuamua kuwa mme na mke....Wanajamvi nimejaribu kuchunguza takribani ndoa 8 nikagundua kwamba mahusiano yao yaliyovunjika kabla ya ndoa yalikuwa na muda mrefu kuliko yaliyozaa ndoa. Ugunduzi nilioupata ni kwamba wanandoa waliodumu kipindi kirefu ni miaka 2 na kifupi ni miezi 4, huku mahusiano yaliyovunjika yakiwa na kipindi kirefu miaka 5 na kifupi mwaka 1. Wanajamvi kutokana na uhalisia huo kuna haja ya kukubaliana kwamba ndoa za vijana wetu walioa wengi zinaongozwa na matukio na sio Historia na hivyo kuchangia vijana wengi kuingia kwenye mikataba ya ndoa bila kuwachunguza wenza wao. Kutokana na hoja hii ni wazi kwamba ndoa nyingi za wakati huu zinakosa uvumilivu kwa sababu wanandoa hawakujuana tabia kabla ya kutoa maamuzi magumu ya kuoana.
Sambamba na hilo wanandoa wengi wameingia kwenye ndoa kutokana na kulazimishwa na mazingira mfano mimba, mahusiano ya familia, vitisho vya kuachiwa laana, umri n.k hivyo wanalazimika kuachana na wapenzi wao wa muda mrefu (wenye historia) na kuambatana na hawa waliojitokeza ghafla.
Karibuni jamvini tusaidiane kudadavua hili jambo la wanandoa na historia kwani kiwango cha ndoa zinazovunjika ni kikubwa sana na kuendelea kuzalisha watoto wa mitaani huku walengwa wakiendelea na maisha mapya....Welcome my people
 
kama swala la historia napinga labda useme utabiri coz hiyo zamani wazee wetu hawakua wanakaa kwenye mahusiano kipindi kirefu na ndoa zao ndio mifano ya kuigwa hadi leo,watoto wao walipata bahati ya kukua hadi kuoa /kuolewa wakati wazazi wao wanaishi pamoja bado,
leo hii watoto wakifanikiwa kuoa/kuolewa utakuta high table kuna mzaz mmoja yupo na step mom na mama mzazi yupo side yake yupo na step faza
 
Tofauti ya ndoa za sasa na za zamani ni hii: zamani watu walikuwa na uelewa wa mambo mdogo sana na walikuwa na heshima/nidhamu ya uoga, maamuzi ktk ndoa zao yalikuwa yakitolewa na ndugu, (mama, baba mjomba au shangazi) lakini watu wa siku hizi ni waelewa sana wa mambo na hawana heshima/nidhamu ya uoga, maamuzi mengi ktk ndoa hutoa wenyewe. Ndoa za kale wakina mama walikubali kunyanyasika na walikuwa wakivumilia aina zote za machungu ya ndoa, ndiyo maana walidumu ktk ndoa zao, wanawake wa siku hizi hawa wa .com subutuu! Ukimwaga mboga anamwaga ugali. Upoo?
 
Tofauti ya zamani na sasa wazazi walihusika moja kwa moja kwenye swala la kuoa/kuolewa kijana na halikuwa jambo la muda mfupi mfano wamasai tangu mtoto akiwa mdogo wazazi wameshaanza mazungumzo, maisha ya sasa tunakutana Mjini hatuna baba wala mama anaetuongoza.
 
Hapo umenea bra-joe, embu tunasaidiane nini cha kufanya?
 
kuhusiana na jambo la kujuana hilo nalipinga kutokana na historia ya bibi yangu na babu yangu ambayo imedumu ndani ya miaka 23 sasa na ukizingatia kipindi hicho kulikua hakuna kujuana walikua wanachukuana 2 lkn ya leo unaweza kudumu naye hata miaka 4 ktk mahusiano na isidumu labda uniambie sababu nyingine lkn sio ya kujuana tabia kwa muda mrefu
 
Tofauti ya zamani na sasa wazazi walihusika moja kwa moja kwenye swala la kuoa/kuolewa kijana na halikuwa jambo la muda mfupi mfano wamasai tangu mtoto akiwa mdogo wazazi wameshaanza mazungumzo, maisha ya sasa tunakutana Mjini hatuna baba wala mama anaetuongoza.

ndo ujue swala la mahusiano ya mda mrefu hayana uhusiano na utulivu wa ndoa
 
Nafiri kuna sehemu hatujaelewana suprise.......Muda mrefu ninaozungumzia mimi ni tangu mnajuana lets say tumejoin pamoja chuo wewe umetokea kus mimi kask....
 
kuhusiana na jambo la kujuana hilo nalipinga kutokana na historia ya bibi yangu na babu yangu ambayo imedumu ndani ya miaka 23 sasa na ukizingatia kipindi hicho kulikua hakuna kujuana walikua wanachukuana 2 lkn ya leo unaweza kudumu naye hata miaka 4 ktk mahusiano na isidumu labda uniambie sababu nyingine lkn sio ya kujuana tabia kwa muda mrefu

Babu yako alitafutiwa bibi yako baada ya wazazi na wanafamilia kumjua vizuri bibi yako.....nazungumzia sisi tunaokutana City mmoja Mara mwingine Arusha hapa hakuna yeyote wa kutuangalizia
 
lkn hiyo ni akili ya m2 mbona wengine wanaoana makjirani kwa majirani lkn ndoazao hazidumu na unakuta wanamahusiano mazuri 2 na familia zao lkn ndoa hazidumu
 
Dada Prianka sababu zinaweza kuwa zile zile, jambo la msingi ni wanandoa kuwa na muda mrefu kujuana kitabia, m2 anaweza kuwa jirani au rafiki ila usijue au kuchunguza tabia zake za mapenzi/mahusiano
 
suala la kujuana ndio lkn kwa mazingira ya sasa hiyo ni ndoto hata kama wakijuana ndani ya miaka 10 lkn wanaweza kwenda kwenye ndoa wakakaa ndani ya miaka miwili wakaachana kutokana na tamaa za kidunia na mambo mbalimbali yanayo tukumba yakiwemo ukosefu wa nguvu za kiume na hata m2 kutofikishwa mahali pake
 
hizi haki sawa wanazodai kila siku ndiyo zinazaa haya..hadi kwenye ndoa wanadai haki sawa Mwanamke na Mwanaume..wakati kwenye vitabu vya imani zetu Mwanaume ndiyo Kichwa cha Family..sasa wanataka Mwanamke hawe kichwa kitu ambacho akiwezekani..Mwanamke ameumbwa kutawaliwa na si kutawala..
 
suala la kujuana ndio lkn kwa mazingira ya sasa hiyo ni ndoto hata kama wakijuana ndani ya miaka 10 lkn wanaweza kwenda kwenye ndoa wakakaa ndani ya miaka miwili wakaachana kutokana na tamaa za kidunia na mambo mbalimbali yanayo tukumba yakiwemo ukosefu wa nguvu za kiume na hata m2 kutofikishwa mahali pake

Imetulia ma sist, embu tusaidiane ni kwa nini kila siku tunatoa michango vijana waoe/waolewe ila tukirudi baada ya muda wameachana au wanaishi kuogopa michango yetu ila mapenzi kwishnei
 
asante pole pia kwa michango unayo toa na kutoa michango tunatoa kwa sababu kupata 2 chakula cha pamoja ndugu jamaa na marafiki na kuona kwa wale ambao 2nakua atujaonana muda mrefu na kuhusu kuoa au kuolewa wanafanya ivyo kwa kuondoa nuksi na misemo midomoni mwa wa2 yule alikua mke au mme wa fulani
 
Hapo kwenye Bold na Underline umenena ya wahenga, ndoa nyingi za sasa ni viini macho
 
Back
Top Bottom