Haya ni mapenzi au ni ujinga?????

Haya ni mapenzi au ni ujinga?????

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
Jamaa akiwa busy kufua viwalo vya mpenzi wake.
 

Attachments

  • mapenzi gani.jpg
    mapenzi gani.jpg
    17.2 KB · Views: 1,050
Mama mdogo, pamoja na mapenzi pia wako physically fit. Kuna watu wengi hata push up ya kawaida hawawezi.
 
.....kabla ya ndoa mume alikua anapiga mzigo kama DOBI.....
 
ingekuwa moja angalau lakini naona kama ni za siku mbili tatu,yote kwa yote ni suala la makubaliano baina yao wawili...
 
Ikifuliwa boxer you call it love, ikifuliwa bikini ni ujinga...!!!!
mmmmh!!!!!!!!!
 
Huyo dada akioga haifui?
Au ndiyo tatu kwa siku?
 
Hayo ndo mapenzi sasa, ingekuwa nje mngesema limbwata ila wako chumbani hao, mhh ila hao wako fiti alowatupia Mama Mdogo
 
Last edited by a moderator:
Wala hakuna cha hilo Limbwata...mbona mi namfulia Thando?[QUOTE=saudari;5336062]Jamaa akiwa busy kufua viwalo vya mpenzi wake.[/QUOTE]
 
Mapenzi ni sanaa, na Sanaa ni Ubunifu. Wajinga watasema na hapa ni limbwata. Kwanza hawa wako fiti kimazoezi, Pili niwaulize wadau: Kama mapenzi ni sanaa na sanaa ni ubunifu, je wewe umebuni nini kwa ajili ya mpenzi/mke wako?? Naomba majibu pevu wakuu.


 
Saa nyingine huwa nafikiria kuwa mapenzi ya kweli huwafanya watu wa pembeni kuwafikiria wapendanao kana kwamba ni wajinga, hao wamependana na wameamua kusaidiana, waacheni!!!
 
Jamani mbona mambo ya kawaida hayo!! kwani akifua tabu iko wapi ni mapenzi tuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom