Jina unalomwita mpenzi wako leo ni tofauti na mlivyoanza mahusiano?

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,593
443
Bila shaka wapenzi mnapokuwa moto katika mahusiano kuna jina ambalo ulikuwa unamwita mpenzi wako lakini siku hadi siku majina yamekuwa yanazidi kuchuja na kubadilika majina kama ....... dear, mpenzi, honey, sweet, darling, totoz na baby hutoweka ..... sana sana kama bado unamheshimu kwa mbali utaishia kumwita weee baba au mama Jack ........ kwa nini?
 
mi mbona wangu mdundo ni huo huo.....tena naona siku hizi maluviluvi yamezidi........sio kama tulivyoanza......
 
Bila shaka wapenzi mnapokuwa moto katika mahusiano kuna jina ambalo ulikuwa unamwita mpenzi wako lakini siku hadi siku majina yamekuwa yanazidi kuchuja na kubadilika majina kama ....... dear, mpenzi, honey, sweet, darling, totoz na baby hutoweka ..... sana sana kama bado unamheshimu kwa mbali utaishia kumwita weee baba au mama Jack ........ kwa nini?

Yap! Kwa sasa ni mama fulaniiii. Wewe ulitakaje?
 
Hahahaaaa unanikumbusha kituko kimoja cha bibi dada kuchukua simu ya mumewe na kuibeep ili aone kaseviwaje humoooo! Bwana weeeee. si ndo baada ya kubeep akaona jina linalotokea kwenye screen ni HASSAN FUNDI MAJENEZA!!!!! Hahahaahaaaaa! Sijui alifanyeje, ila nikaona kwa mbinu hiyo kama ni small house huwezi kujua kama jamaa ana mke! LOL!
 
Kuna kitu inaitwa marginal utility sa hua inapanda(honey,darling,swtyheart na mengne matamu zaidi hua yanatumika sana apa) inafika mahali inakua constant(kawaida sana yani ile kwani kajichukulie mwenyewe maji ya kuoga) then inafika stage ina anza jushuka hapo ndo huta amini unaitwa mbwa mshenzi
 
Hahahahahahahahaha
hapo lazima alie!

Hahahaaaa unanikumbusha kituko kimoja cha bibi dada kuchukua simu ya mumewe na kuibeep ili aone kaseviwaje humoooo! Bwana weeeee. si ndo baada ya kubeep akaona jina linalotokea kwenye screen ni HASSAN FUNDI MAJENEZA!!!!! Hahahaahaaaaa! Sijui alifanyeje, ila nikaona kwa mbinu hiyo kama ni small house huwezi kujua kama jamaa ana mke! LOL!
 
Ni kwasabab ushamzoea,ushayajua mapungufu yake,ushajua wap mnatofautiana na upi udhaifu wake na unajua kila siku yupo tu na atakua wako..lakini tunasahau kua love is knowing some1 is not perfect but treating him/her as if he/she is.Na hiyo ni kwa faida ya mahusiano yenu especially women our weakest part ni masikio,ukimuita na kumsifia ndo anajua kweli unampenda na bado anakuvutia..
 
Kama una muita jina lisilo lake hipo siku utamuita jina lake halisi.
 
Sie wanaume tunajisahau hasa ukishakula mzigo...
Mara nyingi ATTENTION...ile ya mwanzo inapungua sana...!!!
 
namwita Angel a.k.a Malaika, coz at first sight - she was Beautiful
when me met she become , More Beautiful
But when we come together, Most beautiful
 
mi hadi leo bado namuita baby, tukipata mtoto sijui watagawana vipi hilo jina......
 
Back
Top Bottom