Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Niliwahi kuwa na mpenzi wangu kwa kipindi cha miaka mitano,baadae akapata nafasi ya chuo kwenda kusoma nje ya nchi.Mapenzi yetu yaliendelea kama kawaida,ikawa akirudi likizo twaendeleza kula tunda la mti wa kati kama kawaida.Alipokaribia kumaliza masomo yake hakurudi kama miaka miwili hivi,na aliporudi alikuwa na ujauzito mkubwa tu.Akaniambia ujauzito si wangu na mwenye nao amemkataa,na aliogopa kurudi kwani dhamira ilikuwa inamsuta kwa jinsi nilivyokuwa namjali na kumpenda.Nikasamehe,kwakuwa tulipendana basi tukaendelea kufanya mapenzi kwa takribani miezi mitatu,nilipenda sana.Alipojifungua sikuwa na hamu nae tena,nikawa na mazoea na binti mwingine jirani yetu naye alikuwa mjamzito tukafanya nae mpaka alipojifungua.
Imekuwa mahitaji yangu ya mapenzi yako kwa wajawazito tena wenye mimba kubwa...napendwa na wadada warembo lakini nimekuwa nikiwaacha na kufata wajawazito...
Tafadhali nisaidieni kuweza kuachana na tabia hii,kwani inazidi kukomaa kwangu!