Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakukukuuu mambo vp? Leo nilikuwa naenda kutafuta nyumba ya kununua pale sinza kumekucha,basi nikawa nimekaa pale kwa madalali kwa nyuma kuna saloon ya kike,nlikuwa namsubiri mwenyeji...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu, naomba leo nitoe hii hoja ambayo inaniumiza kichwa. Wataalam waliobobea kwenye nyanja za watoto wanatuasa kuwa internet na luninga inapotumiwa sana na watoto inawafanya wasiweze kupevuka...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mm ni kijana ambaye Mungu Mwenyezi kanibariki katika maisha hela ya kutafuta mboga haipigi chena nimemaliza chuo kikuu plus elimu nyingine ya juu,katika mahusiano nilishapita kwingi na kuwa na...
1 Reactions
53 Replies
48K Views
Wana-JF,naombeni nafasi yenu 'nishee' nanyi Waraka ufuatao.Kiukweli,Waraka huu ulimrudisha mpwa wangu Ashura kwenye mstari na sasa anapaa kuelekea kwenye mafanikio.Sasa yuko Kidato cha Pili na...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tofauti na maarufu wengi ambao ndoa zao zimekumbwa na kashfa mbalimbali na kutodumu kwa muda mrefu,hayati Sajuki na mkewe Wastara wameweka rekodi na mfano wa kufuatwa katika jamii. Kwanza walianza...
4 Reactions
24 Replies
12K Views
Zara and Tess Guthrie (left); Tex Tillis with the python (Guthrie/Australian TV/Brisbane Times) An Australian woman was awoken by her hissing cat early Sunday to find a python wrapped around the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini Wakuu! Kuna jamaa yangu wakaribu sana kaja kuniomba ushauri, Kisa ni hivi, Anatarajia kwenda kusoma mwezi wa 9 kwa miaka 5 ijayo! Lakini hawezi kwenda na familia yake (wife with 2kids)...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna malalamiko mengi kuhusu mifumo ya kijamii katika nchi yetu inayoonekana kuwa kikwazo kwa maendeleo ya aina fulani ya wanajamii wetu. Example mifumo dume na mifumo kristo. ntatoa dokezo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ku cheat ni kudanganya. Na katika mapenzi, kucheat ina maana kumdanganya mtu unampenda (au unampenda yeye tu), wakati haumpendi, au unampenda yeye na mwi/wengine... Kwa hiyo, the cheating...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
For a serious chat mate gal . Kubadilishana mawazo n challenges., text me via 0778-703233 Nipo dsm. With regards, thanks.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
What Happens in Kavos - What Happens in Kavos... - YouTube Maishani kuyaishi au mnasemaje?
0 Reactions
1 Replies
941 Views
What Happens in Kavos - What Happens in Kavos... - YouTube Maisha ya kileo kwa muzungu
0 Reactions
0 Replies
674 Views
Kuna malalamiko mengi kuhusu mifumo ya kijamii katika nchi yetu inayoonekana kuwa kikwazo kwa maendeleo ya aina fulani ya wanajamii wetu. Example mifumo dume na mifumo kristo. ntatoa dokezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimehudhuria sherehe za harusi nyingi. Nimekuwa nikiona kaka za bibi harusi wengi wakishangilia na kufurahia dada zao kuolewa. Hapa naomba mnijuze juu ya nini hasa kinachowafanya wakaka kuwa na...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
MIMI:mwanaume UMRI:miaka 27 DINI:mkristo ELIMU: BACHELOR KAZI: MWAJIRIWA SERIKALINI UMBO na mwonekano:mnene kiasi, Mrefu kiasi, mweusi Namtafuta msichana kuanzia miaka 19-25, mwajiriwa, mkristo...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
A relationship coach lays out his 5 golden rules for reviewing the prospects of long-term marital success. When it comes to making the decision about choosing life partner, no one wants to make a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila mara nikipata nafasi ya kuzungumza na watu wazima hasa wanaume ambao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka15 na kuendelea ajabu ni kuwa maoni yao karibu yote au niseme asilimia 90 kuhusu ndoa na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
I feel so good. Natamani niwaonjeshe wote raha ninayo jisikia, hasa baada ya kupita vizingiti vingi huko nyuma ambavyo nimeshinda na hasa tokana na kuwa najua na hii raha yaweza kupita pia...
2 Reactions
44 Replies
5K Views
My sweetie Angel, How are you? I am fine but so missed u in bed and everything. Vipi masomo yanakwendaje? tunza vizuri mali yangu mpenzi, maana I don’t expect to hear unampa mwingine zaidi yangu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…