MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
Nilikuwa na dem, hakuniambia ni mke wa mtu, akabeba mimba akazaa, yupo na mme wake lakini anataka niwe natoa pesa za matumizi ya mtoto na anang'ang'ania eti mtoto ni wangu. Wakati huo huo huyo mme wake anajua mtoto ni wa kwake pia. Ananisumbua sana nifanyeje?