Naona raha...

Naona raha...

Neiwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
728
Reaction score
634
I feel so good. Natamani niwaonjeshe wote raha ninayo jisikia, hasa baada ya kupita vizingiti vingi huko nyuma ambavyo nimeshinda na hasa tokana na kuwa najua na hii raha yaweza kupita pia. Sometimes its good to share moments like this. kama you feel down, pole na nakumegea raha ninayo jifili upande chembe ya furaha. Life is good. Wish you have experienced the greatness and wonderful emotions am feeling right now. Lots of love kwa kila aliyeniwezesha mimi feeling this good.
 
U sure are in a good mood, Congratulations!😀
 
raha ujipe mwenyewe kumbuka raha ya kupewa huenda ipo siku ikatoweka but all the best
 
umepata nini?
Hongera

Thnx. Nimefika tu a point na kutambua some things we just complicate, they are not that complicated. I am relaxed and feel so good.
 
Afu kuna raha flani ukiwa nayo unakuwa cloud 7. Haujali hata kama watu wamekuelewa wala nini, you become invisible!
Haya mwaya jienjoy. Raha ya milele umpe eeeh Bwana, ila mwanga wa milele usimuangazie manake haja-RIP
 
I am happy for you dear; if you can stop the time and pause this wonderful moment do that hny.
 
Hujasema....maana hata kunya ni raha


Kama unajisikia raha ninayojisikia kwa kupitia kunya, haina shida. Kubwa you are feeling as good as I am. It is a great feeling'
 
Maana ya kuanzisha thired hapa ni kwa ajili ya kushare na kujifunza na wenzako, sasa wewe mleta mada hakuna ulichokifanya kati ya hivo so bora ungefurahizako kimoyomoyo
 
Thnx. Nimefika tu a point na kutambua some things we just complicate, they are not that complicated. I am relaxed and feel so good.
oohoo, welcome aboard! You are growing up!!!!!. Hongera sana. Kick your shoes, na ukiona picha ina blurr, dont frown, just change the viewing angle. Ok?
 
Afu kuna raha flani ukiwa nayo unakuwa cloud 7. Haujali hata kama watu wamekuelewa wala nini, you become invisible!
Haya mwaya jienjoy. Raha ya milele umpe eeeh Bwana, ila mwanga wa milele usimuangazie manake haja-RIP


Ninajisikia raha hadi nahisi nina uwezo kabisa wa kupaa, I wish I could be able to stop time kama Kaunga alivyo suggest.
 
Last edited by a moderator:
Happy New Year!

Msalimie babu Dark City, nimemmiss kitambo.

oohoo, welcome aboard! You are growing up!!!!!. Hongera sana. Kick your shoes, na ukiona picha ina blurr, dont frown, just change the viewing angle. Ok?
 
Last edited by a moderator:
Maana ya kuanzisha thired hapa ni kwa ajili ya kushare na kujifunza na wenzako, sasa wewe mleta mada hakuna ulichokifanya kati ya hivo so bora ungefurahizako kimoyomoyo


Hapana. Ningekuwa na mtu wa kushare nae hapa labda nisinge post. Nina furaha na raha mno hadi naona ni dhambi kuto share these wonderful emotions am feeling. Exuberating'
 
naskia Paw ni invisible

kisa msuba

Afu kuna raha flani ukiwa nayo unakuwa cloud 7. Haujali hata kama watu wamekuelewa wala nini, you become invisible!
Haya mwaya jienjoy. Raha ya milele umpe eeeh Bwana, ila mwanga wa milele usimuangazie manake haja-RIP
 
You believe you can fly
U believe you can touch the sky....

I am thinking about it every moment today, feel like spreading my wings and fly away....
 
Neiwa a happy for you dear.
and i feel the same as you too lol! umeona enh! haikuwa kazi kama ambavyo wegine wanahubiri sio?? ni kazi nyepesi sana my dear.
 
Last edited by a moderator:
Neiwa a happy for you dear.
and i feel the same as you too lol! umeona enh! haikuwa kazi kama ambavyo wegine wanahubiri sio?? ni kazi nyepesi sana my dear.

lolz!! Haikuwa kazi. Umeona how wonderful the feeling is? Raha jamaniii..
 
Back
Top Bottom