Masomo Vs Familia!

Masomo Vs Familia!

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,972
Reaction score
3,588
Habarini Wakuu!

Kuna jamaa yangu wakaribu sana kaja kuniomba ushauri,

Kisa ni hivi, Anatarajia kwenda kusoma mwezi wa 9 kwa miaka 5 ijayo! Lakini hawezi kwenda na familia yake (wife with 2kids) Sasa isue ni kuwa ataweza muamini mke wake kwa muda woote huo(Meaning amuache Tz while she is just 26yrs), Aende na wife na familia yake kibishibishi(ukizingatia itamuwia vigumu kiuchumi) au aende amuache wife akijua sio wake tena!

Keep in mind anamuacha nyumbani kwake na usafiri wake pia anamuachia!

Binafsi nimemuambia Kama mungu alipanga waishi pamoja atamkuta safe, otherwise sio vibaya kwani ana watoto wake na ndio itakuwa urithi wao! Wadau kwa ushauri zaidi hapa manage jamaa yuko desperate
 
Aende naye, na mkewe atatafuta kibarua huko ili kuongeza pato la kaya. 5 years yeye anaweza? Otherwise amuachie mabox 5 ya Salama ili atleast amkute akiwa salama na bila kamtanzania kengine au tuwili!
 
Anaweza kwenda yeye akamuacha hapa Tz, alafu awe anarudi kila baada ya mwaka kusalimia familia yake, Au aende naye ili atafute kibarua huko ili aweze kuongeza kipato katika familia.
 
Mwambie jamaa yako akamkabdhi mkewe kwa sangoma, huko atakuwa salama.
Kama yeye hamuamini mke wake, kwanini alimuoa?
 
Ndo maana ya ushauri! Kama huwezi toa ushauri si ukae kimya? Kwani umelazimishwa
 
hahha hapo ajiandae wajanja kuja kumgegedea huyo mke.....
 
Habarini Wakuu!

Kuna jamaa yangu wakaribu sana kaja kuniomba ushauri,

Kisa ni hivi, Anatarajia kwenda kusoma mwezi wa 9 kwa miaka 5 ijayo! Lakini hawezi kwenda na familia yake (wife with 2kids) Sasa isue ni kuwa ataweza muamini mke wake kwa muda woote huo(Meaning amuache Tz while she is just 26yrs), Aende na wife na familia yake kibishibishi(ukizingatia itamuwia vigumu kiuchumi) au aende amuache wife akijua sio wake tena!

Keep in mind anamuacha nyumbani kwake na usafiri wake pia anamuachia!

Binafsi nimemuambia Kama mungu alipanga waishi pamoja atamkuta safe, otherwise sio vibaya kwani ana watoto wake na ndio itakuwa urithi wao! Wadau kwa ushauri zaidi hapa manage jamaa yuko desperate
hayo masomo yanaumuhimu gani na ulazima gani. kama anapata miambili ya kumuendeshea siku basi ni bora kuliko kutelekeza familia.

Nihayo tu
 
na ajiulize yeye je huko atakuwa safe kwa asilimia ngapi je ataweza kuvumilia?ngoma droooo
 
Asiache mke nyuma .. Other wise atarudi na elimu yake .. Ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya familia, BuT huenda familia isiwepo tena lol.

Chezeya dushelele na papuchi wewe !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimeishi nje ya nchi kama mwanafunzi kwa muda mrefu tu, am telling you broda huyo rafiki yako ndio atakua mgegedaji namba moja huko aendako...
Out there wake za watu wanapekechwa na waume za watu ndio wapekechaji wenyewe na mbaya zaidi watu wanawekana kinyumba...
Hivyo huyo jamaa asitake kujifanya Saint we ngoja aende huko am sure ndiye atakua wa kwanza kuomba msamaha kwa mkewe...
....Experience from my Diary....
 
Ndo maana ya ushauri! Kama huwezi toa ushauri si ukae kimya? Kwani umelazimishwa

ka dogo huwa kanakurupuka kabla hata hakajasoma kilchomo kalichoandika hapa pitia mada zote utakuta sawa sawa.
 
Kuongeza elimu tena abroad ni nafasi nzuri kwa mustakbali wa future zenu pia.Na familia yako pia ni muhiu zaidi pia. ila ndugu yangu 5years ni mingi mno bora uzingatie huo ushauri wa kurudi nyumbani kila mwaka wa likizo.kuhusu uaminifu wa mkeo wewe ndiye unaemjua kuliko sisi.Na kwa upande wako je utakuwa mwaminifu? Hivi Mkeo ameajiriwa?
 
Mmh, kwenye kuongeza kipato ninakubali sawa. Likini hili la mabox ya zana, nadhani ungesema na huyu mwanaume awe nayo mia tano. Naamini huko aendako siyo jela bado wana nafasi ya kutembeleana so kama tatizo ni uchumi asilazimishe. Uaminifu ni complex kuelezea, wangapi ni single parents na hawa duu kwa miez 6 hata mwaka?. Huyu baba aweza tembelea mwenzie na wakafurai. Wasiwasi wangu ni huyu mwenye wasiwasi na mwenzie ndo aweza kuwa msaliti mtarajiwa zaidi.
 
Asiache mke nyuma .. Other wise atarudi na elimu yake .. Ambayo ni muhimu kwa maendeleo ya familia, BuT huenda familia isiwepo tena lol.

Chezeya dushelele na papuchi wewe !

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
hahaha
 
inasikitisha sana kuona mtu anashindwa kumuamini mke alokula nae kiapo......kwani ukienda huko mke anajua kuwa hutotembea zipu wazi? Mbona katulia kakuamini?


Hayo mapenzi ya kutokuaminiana ya kazi gani????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom