Dada yako anaolewa: Nini hasa kinachokufanya ufurahie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada yako anaolewa: Nini hasa kinachokufanya ufurahie?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Feb 13, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Nimehudhuria sherehe za harusi nyingi.

  Nimekuwa nikiona kaka za bibi harusi wengi wakishangilia na kufurahia dada zao kuolewa. Hapa naomba mnijuze juu ya nini hasa kinachowafanya wakaka kuwa na furaha dada zao waolewapo ukizingatia hiki ni kipindi ambacho wanaume wengi wamekuwa na kale katabia ka kutumia viagra na zile dawa za kuongeza ukubwa wa 'vitendea kazi' vyao hadi kufanana na mihogo ya jang'ombe.

  Hivi wakati unafurahia umeshawahi kujiuliza juu ya madhila kama haya ambayo wanawake wengi wamekuwa hawayapendi ktk mahusiano yao na sasa ndiyo yanaenda kuwa maisha yake ya kila siku ktk ndoa ya huyo dada yako?

  Ktk mazingira kama haya, ni nini hasa kinachokufanya wewe kaka wa bibi harusi ufurahie dada yako anapoolewa?

  Nipeni jibu jamani!
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Duuuh ebana eeeh....wewe una dada?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kumbe tunapaswa kulia?aisee..
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Umewaza nini mpaka umeniuliza hilo swali? Bwanchuchu vipi? Hebu jibu swali bwana hiyo biashara ya una dada au huna ya nini? Sio kila anayeua basi hana ndugu!
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  kufunga ndoa ni tendo la furaha..sasa wewe unataka uhuzunike mkuu?
   
 6. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Great Thinker
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Feb 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unafurai maana kaondoa kero mbalmbal hapo home ikiwemo la wanaume au angeendelea kukaa angejifungulia mtoto asye na baba hapo home.
   
 8. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #8
  Feb 14, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,883
  Likes Received: 6,329
  Trophy Points: 280
  Dada wa wenzio unawafanyia kwnn dadako akifanyiwa ulalame
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,310
  Likes Received: 3,058
  Trophy Points: 280
  Mm nilifurahi kwasbb amepata nusra ya Allah
   
 10. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #10
  Feb 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hebu fafanua hii maneno na wengine tusio waislamu tujue una maanisha nini hapo!
   
 11. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,640
  Likes Received: 2,002
  Trophy Points: 280
  mimi huwa ninafurahi tu ukipigwa ule wimbo wa bongo fleva wenye maneno haya:
  ....dada huyo anaolewaaa,dada huyo anaolewa, mahari imeshatatolewaaa,mahari imeshatolewa....
   
 12. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  mwenye dada akosi shemeji.
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kaka tunashangilia maana kuletewa vimjomba visivyo na baba inaumiza aisee...............
  Swala la wao kudungwa na vitendea kazi vilivyoboreshwa na Mchina au kutumia Mkuyati hiyo hainihusu ninachojali zaidi ni kuepushwa na gharama zisizo na lazima.
   
 14. e

  ejogo JF-Expert Member

  #14
  Feb 14, 2012
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tunafurahi kwasababu dada anakwenda kufurahishwa.
   
 15. ambili

  ambili JF-Expert Member

  #15
  Feb 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  mbona wenyewe hawalalamiki, nadhani wanaipenda hiyo mihogo ya jang'ombe.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  sasa wasifurahi? Kuolewa ni jambo jema
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  anafurahia wajukuu
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Feb 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  ukitaka kula lazima uliwe.

  Anakubali dada aliwe ili na yeye ili aje ale wa mwingine, vinginevyo mtaoana mtu na dada yake afu ukoo unabaki kuwa wa vilaza asilani.
   
 19. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #19
  Feb 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Lazima nifurahi sana dada akiolewa na shemeji nitampenda sana kwa kuwa Kama dada akizalia nyumbani watoto wake wanaweza kumuita babu yao baba kwa ajili ya mazoea ya pale home, na ikaleta Picha mbaya kwenye jamii, pia watoto wa dada wanaweza kuniita baba Kama wanangu badala ya mjomba Kama ataishi kwangu na pia ikaleta Picha mbaya.
   
 20. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #20
  Feb 14, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 12,030
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Unafurahi unajua kinachoenda kumpata huko?
   
Loading...