Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
Ku cheat ni kudanganya. Na katika mapenzi, kucheat ina maana kumdanganya mtu unampenda (au unampenda yeye tu), wakati haumpendi, au unampenda yeye na mwi/wengine...
Kwa hiyo, the cheating principle states that; "Ikiwa mtu una mpenzi/mke/mume unayempenda kiukweli, na ikatokea kwa 'bahati mbaya' ukafanya ngono na mtu mwingine ambaye haumpendi (pia haumchukii) (mara moja au kwa kurudia), basi hujamchiti mpenzi/mke/mume wako"
Msibishe... Imesibitishwa maabara na wataalamu wa mapenzi waliobobea, wakiongozwa na mimi mwenyewe...