Sikio la muazini
JF-Expert Member
- Jun 17, 2026
- 249
- 469
Sasa unakuta mdada kapendeza na makebo ndindi akitongowa anakataa sasa kwa nini? unapendeza? unapendeza ili iweje? acheni izo
Kabisa!Sasa masta atamkubalia kila mtu ..... ndio maana kuna levels..... ukiona kina kirefu kausha tu !
Vingine tutakula tu kwa macho
Mleta mada Una akili za kitoto Sana.
Kwamba kila mwanamke anayevaa vizuri na kupendeza huwa ana target ya kutongozwa sio
Love is all about feelings! Utambaka tu