Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ukitumiwa sms isemayo, "nikwambie ktu!". Usijibu niambie, kwan ni mzinga unafuata.
17 Reactions
142 Replies
9K Views
If You saw someone beating your mum, you rushed into the house to fetch a weapon and found someone in bed with your wife/husband. Which would you attend to 1st? Don't lie & do not criticize
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Habari wana jf leo naomba tujadili suala la wanandoa kutoka nje ya ndoa zao hili limekua ni kawaida kwa jamii yetu. Jeee ni kipi kinasaba?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman kwema wanajamvi??/ mm ni mbint nimekua na mahususiano na watu 3 tofauti wote kuishia kunitenda wengine kushindana kitabia tangu mwaka juz nimeamua kuachana na mahusiano na kutumia njia hii...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Asie fundwa ktka unyago hufundwa na wapenzi! Siku zote Ero mm nilijua kuwa SEX lazima iwe ya vurugu, yaani mavitu ya kufungana vitandani, mara kupigana pingu, mara kuwekana blind fold, mara...
9 Reactions
83 Replies
14K Views
hbari za sa hzii wapendwaaaw mimi nina mpenz wangu tangu tuanze mahusiano hayo ni kama miaka 2 sasa imefika lakini siku hizi simuelewi kwasababu ilikuwa kila mwezi lazima ni sex naye lakini...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari za cku wana JF.....? nitafurahi sana kusikia maoni yenu hasa mlio oleana bomani.. yani ndowa ya kiselikali. hivi inakuwa na ushirikiano kweli wa pande mbili....? hasa wakati wa matatizo ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Angelina wanted to travel to Lagos by bus.. So she paid and occupied a seat and she went to buy something,on her coming back she found out that another person has occupied that seat... So she...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Naitwa Ben,{32yrs} mfanyakazi pia nafanya biashara,home ni bongo"changanyikeni ila kwa sasa niko motown kikazi,natafuta mchumba mwenye umri kuanzia 20-29 aliyetayari atume sms hapa +255762229824...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kutokana na magonjwa ya zinaa (wadada sana ni UTI), Hoteli za kitalii zimegundua kuwa vyoo vyao vinatumiwa zaidi na outsiders ambao hawajanunua hata crisps ktk Hoteli hizo. Wengi wanakwepa vyoo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna mtu nilikuwa naongea naye mda mfupi uliopita, akaniambia kwao kila kitu cha thamani lazima kiwekewe bima ili kikipata madhara uweze kulipwa fidia... Mimejaribu kuwaza kwa haraka nikagundua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamii hebu nisaidieni kuna tamthilia inaonyeshwa na ITV na EATV inaitwa SIRI YA MTUNGI kiukweli mbona haizingatii vigezo na masharti ya tume ya mawasiliano nchini? Nasema hivyo kwasababu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF, Hivi hii tabia ya mpenzi wako kuwa busy na tamthilia za kwenye Tv stations, hata kuacha ku pay attention ktk mambo muhimu ndani ya nyumba, inawakuta na nyie? Kwangu imekuwa too much...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
samahani kwa kuwachosha wakuu,hi kitu kwangu ni tatizo sana na ina nikera.na amini watanzania tumeumbwa na maadili ukutanapo na mtu mkubwa wako au mdogo wako kumsalimia ni jambo la...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Huwa napata shida sana nikikutana na Wanawake wenye hii tabia...Unampenda Mwanamke kabisa from ur heart,unajipanga unampiga saundi..anakujibu,''How old are you kaka'' unamwambia am 26...
6 Reactions
68 Replies
5K Views
Mnakwenda movie ,fishing ,hunting ,cruising,make love ,skiing ,shooting range,
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Huyu binadamu lol..!nikiwa nae the whole day basi atajifaragua na simu mara ooh sitaki watu wanisumbue...unajua kinafulani wanataka twende.....watanitafuta..!!mara ngoja tu nizime hii...
6 Reactions
76 Replies
5K Views
Nina rafiki yangu hajakaa hata mwezi Kwenye ndoa mama mkwe kahamia na wajukuu wa Tatu .rafiki Yangu kanipigia simu analia kwa uchungu baada ya kumuuliza mume wake kwa nini wanahamia akasema yeye...
1 Reactions
245 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…